Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria


Mkuu hongera sana hii ndio ilikuwa mawazo ya founders wa JF pamoja na mambo mengine ya kupeana taarifa za kuivusha Tanzania, leo hii imebadilishwa kuwa kijiwe cha upotoshaji. Watanzania tubadilike maana nchi yetu tutajenga wenyewe tuache hizi propaganda ambazo haziwezi kuinua maisha ya Watanzania. Ni aibu kubwa wazungu wanakuja kuiba na kupora rasilimali zetu kwa kutumia ndugu zetu. Lets wakeup and build our country.
 
Nenda kwanza kapate degree ya mkopo wa Magufuli, halafu ndiyo uje JF uchangie hoja ambazo zina substance.

Ina elekea mambo ya kike ndiyo kazi yako hiyo unayo ijua vizuri. Sorry Ngumbaru!

Mkuu safi sana utawafahamu tu hawa, wako wengi humu wana kazi moja tu kukashifu na kufikiria Watanzania wote ni mbumbumbu kama wao. JPM amebadili mind-set ya Watanzania na Afrika kwa ujumla (game changer) kwa wanaojitambua, lakini hawa pimbi bado wana mawazo mgando.
 
jambo jema lazima lipongezwe but why now
Mapambano mapya lazima yameanza. Tuangalie CDM watatupa stail ipi mpya. Kwanza Jiwe aanze kuponda, lazima atajibiwa tu. Ukikaa mbali na adui yako hutakuja kumuweza.
 
Nimeipenda hiyo kwenye mabano. Tusubiri kesho ataongea nini baada ya kumuona Mbowe uwanjani
 
Reactions: Ole
Umempa za uso! Watu wenye tabia za kujimwambafai kama huyo kawaida huwa na udhaifu fulani mchafu sana na hizo tabia wanazitumia kuficha huo udhaifu au aibu ya aina Fulani.
 
Kuhudhuria sherehe ni lazima kutoa tamko rasmi?!
Yaah, ukuzingatia huko nyuma walisusa! We ulitaka Mbowe aonekane pale uwanjani kimya kimya, Nyumbu wa Lumumba waanze kuimba kuwa anaunga juhudi. Si tetesi umeanza kuzisikia ati wana mpango wa kuamia huko
 
Reactions: Ole
Umempa za uso! Watu wenye tabia za kujimwambafai kama huyo kawaida huwa na udhaifu fulani mchafu sana na hizo tabia wanazitumia kuficha huo udhaifu au aibu ya aina Fulani.

Mkuu onyesha udhaifu wake kwa hoja sio kwa character assassination kitu ambacho wewe na makuwadi wako mmeshindwa kukionyesha. Onyesha jinsi alivyo ji-mwambafai? Huyo mwenyewe aliyeleta hilo neno la kujimwambafai alifanya nini zaidi ya kuifilisi nchi. Chuma kimeingia Ikulu na kinafanya kazi ambayo inatakiwa kufanywa na rais.
 
Mara nyingi tumekuwa tukimsikia wakati akihutubia kwenye majukwaa ya kisiasa, Rais Magufuli, akinadi kuwa maendeleo hayana chama, akimaanisha kuwa nchi hii hapaswi mwananchi yeyote abaguliwe kwa misingi ya vyama.

Kwa maana hiyo anachohubiri Rais Magufuli ni kuwa Taifa hili ni lazima lidumishe umoja wake, bila kujali tofauti zetu za dini, kabila na itikadi za kisiasa.

Leo ndiyo tunasherekea miaka 58 tokea Taifa letu linyakue Uhuru wake toka kwa mkoloni na chama kikuu cha upinzani nchini, kimeeleza wazi kuwa mwaka huu kitashiriki kikamilifu shughuli hizo za kumbukizi ya Uhuru wetu.

Ingawa imekuwa kama "surprise" fulani hivi, lakini Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini, Freeman Mbowe, ametoa wito kwa wanachama wa Chadema, kujitokeza kwa wingi sana, huku wakiwa wamevaa sare zao za Chadema na wahudhurie sherehe hizo.

Tunawaomba waandaaji wa sherehe hizo wawe "fair" na wasifanye upendeleo wa aina yoyote ile, kwa kuwanyanyasa wanachama wa Chadema na kuwapa upendeleo maalum, wanachama watakaokuwa wamevaa sare za chama chao cha CCM, kwa kuwa sherehe hizo ni za kitaifa na kama anavyopenda kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa, Rais Magufuli, kuwa maendeleo hayana chama.

Vile vile ifahamike kuwa chama cha Chadema kimesajiliwa kihalali na ni lazima kijishughulishe na shughuli mbalimbali za kitaifa.

Wewe uwe CCM au Chadema, hupaswi ubaguliwe kwa kuwa tu wewe ni Chadema, kwa kuwa maendeleo hayana chama, na kila chama kinapaswa kiwe "treated fairly" bila upendeleo wowote kwa misingi ya uchama

Leo ni kipimo kizuri sana cha kutambua kama Rais Magufuli huwa anayatamka hsyo maneno "seriously" na hatamki kuwahadaa Umma wa watanzania

Ikitokea waandaaji wa sherehe hizo wakawabagua wahudhuriaji hao kwa misingi ya uchama, basi tutajua kuwa kumbe hata hayo maneno yanayomtoka JPM mdomoni, ni usanii mtupu!
 
Huyo mwenyewe aliyeleta hilo neno la kujimwambafai alifanya nini zaidi ya kuifilisi nchi. Chuma kimeingia Ikulu na kinafanya kazi ambayo inatakiwa kufanywa na rais.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimezipenda sana.[emoji106]
 
Tunao ona mbali tulijua kuwa chadema haitafika mbali na ajenda ya kuhujumu juhudi za jpm na sasa wanaona waaachwa nyuma na makesi na kupoteza kwenye uchaguzi wa mitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

USSR
 
Naunga mkono hoja, tena msiishie kujitokeza tuu kwenye sherehe, bali ungeni kabisa mkono juhudi...
P
Hapana Pascal

Inatosha tu kujitokeza kusheherekea siku kuu ya Uhuru, bila kuunga mkono juhudi za JPM, kwa kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi na haitakuwa kosa kujumuika kusheherekea bila kuunga mkono juhudi, kwa kuwa kama ambavyi huwa anapenda kusema mkuu wa nchi, kuwa maendeleo hayana chama
 

Nasema hivi, njoo na verified user Kisha uweke hiyo elimu na tuone ulicho achieve, Ni kipi so far umelifanyia taifa hili. Nipo kwenye mitandao muda wote maana simu yangu ninayo mkononi muda wote, naweza kupiga simu, kujibu sms nk. Kuwepo mitandaoni sio kama kwenda
kanisani useme unazima simu. Niko huru maana nimejiajiri na kutoa ajira kwa wengine, mimi sio mtumwa wa kazi za wanaume wengine kama ww. Kwakuwa ww umeajiriwa na wanaume wenzio unapaswa kuripoti kwenye hiyo ajira kuanzia asubuhi mpaka jioni, kinyume na hapo ukifukuzwa kazi ukija mtaani lazima uolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…