Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

Unajipendekeza mpk unakera ndugu, utakuwa siyo mzima wewe.
Katika yako na mimi nani atakuwa mgonjwa?

Mimi sijipendekezi isipokuwa tofauti yangu na yako ni kwamba mimi najua hathari za vita wakati wewe huzijui. Nyie mda wote mnawaza kula Bata tu kwa kuwa terolize watanzania kwa vitendo vyenu vya kueneza uongo usio kuwa na miguu wala mikono. Watu wazima kazi zenu kupiga kelele za uongo tu kuhusu Rais wetu na serikali yake.

Ninge wish Magufuli angekuwa diktekta kweli akawamaliza nyote nyie. Nyie ni wahuni tu msio jua misingi ya kuwa na amani kwa maendeleo yetu.

Mimi wakati nasoma Ujerumani nimesha wahi fanya kazi kwenye makambi ya wakimbizi wa Rwanda na Burundi niki fanya translation. Wakimbizi walinifurahia sana walipo sikia mimi ni mtanzania, nafikiri walijihisi mimi ni nwenzao kwa utanzania wangu.

Action hii ilinifanya nimkumbuke baba wa Taifa Mwalim Nyerere kwa jitihada zake za kuondoa hitlafu zetu za kikabila, kidini na kiitikadi kwa kutupa lugha moja ya kiswahili.

Amani ni tam na ni thawabu kubwa kuliko uroho wenu wa madaraka na ruzuku kutoka serikalini.
 
Unateseka sana, na chadema wakati wenye ccm yao wanakula bata, ndo maana babu zenu walijipeleka utumwani
 
Wewe umelewa, au umevuta sigara kubwa?
Nilitaka kukujibu hoja kwa hoja, lakini hustahili kupewa heshima hiyo.
Huna haja kwani upeo wangu wa kuelewa mambo na maisha uko juu sana ukilinganisha na wewe mnuka jasho la kwapa kwenye polo Shorts za majambazi na makupe wa fedha za umma.

Kitu ambacho hukijui kinacho tokea duniani ni kwamba hiyo demokrasia na haki za binadam unazo zipigania, ndizo hizo zili teketeza himaya da wagiriki, warumi na hivi sasa nchi za kibepari za Ulaya kama; Uingereza, Spain, Ufaransa na Italy bila kusahau nchi yako kipenzi Amerika.

Nyie ndiyo mna akili, watu ambao mna amini kuwa NGOs wataleta maendeleo ya uchumi na utawala Bora kwa Masokwe kama sisi! Nafikiri hiyo joint utakuwa umeivuta wewe kiasi kwamba ikakupa Illusion ya kuwa maendeleo yataletwa kwa kufanya maandamano.
 
Kwani hakuna precession? Acha kukariri ndugu
 
Tangu mwaka 2015 sijawahi sikiliza hotuba yoyote ya vimaadhimisho vyovyote naonaga short crip mitandaoni ila tarehe 9/12/2019 nitapika kahawa chupa nzima na kashata zangu najifungia ntaangalia kila hatua .
What do you expect from such hotuba, particularly from Jiwe? Nakuomba baada ya hotuba rudi hapa unipe mrejesho
 
Mbona baba yenu alikula ada na bado unaandika kwenye mitandao?
 
Mungu, sikulaumu kwa vile wewe ndo muweza yote. Lakini ikikupendeza badala ya kuruhusu watu kama Seth waage dunia fyeka mipumbavu kama hii ipungue duniani.
 
Kuna wageni waalikwa kutoka nje ya nchi na mataifa makubwa hawawezi kupelekwa uswahilini Ufipa, piaa ni kuonesha ukubwa wa chama
 
Ingizo jipya lililotumwa kumchafua Mbowe , Joined 4 September 2019

Kashindwa Magufuli mwenye majeshi yote ndio uweze wewe Kapuku mnuka kikwapa ?
Tell him, hao ndio "wasiojulikana" ameshindwa kupata ajila ya mkuu wa wilaya sasa anafikiria kumuchafua mbowe ndio pengine atachaguliwa kuwa "kamisina TRA" aende mbali sana huyu uvccm
 
Wamefanya vizuri,tangu mwanzo walitakiwa kuwa flexible kihivyo
Chadema wangependa sana kuhudhuria hizi shughuli za kitaifa, ila tatizo ni namna wanavyobaguliwa na kudhalilishwa na Jiwe

Umeshajiuliza ni kwanini Chadema walikuwa wanahudhuria sherehe hizi katika utawala uliopita wa JK, na wameshindwa kuhudhuria katika awamu hii ya JPM??
 
Imekaa vizuri hii[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji116][emoji116]
 
Msisahau kuvaa Jezi zetu pendwa wana CDM tunataka majukwaa yapendeze kwa rangi nyekundu, blue na nyeupe
 
Mbowe yupo vizuri sana,ukitaka ujute kuzaliwa,jaribu tu kumshutumu,mazombi watakujaa kama mwewe
 
Acha ufala wewe. Ulisoma Ujerumani kwa akili ipi? Halafu soma aya ya pili kutoka mwisho wa huu utumbo wako. Mbona huyu ba..sha wako anahubiri ubaguzi wa wazi na kuwanyanyasa wengine kisiasa. Hii ndiyo amani unayoijua? Wewe kwako kuwa na amani ni kutokuwepo na vita? Sijui hata Ujerumani ulifikaje. Ipo siku tu wewe mtetea utataga.
 
Hivi Mwigulu bado anakupalaza maana huna akili hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…