Inawezekana alikua anamsaidia commando wake baada ya kuwa hana kazi, ukichukulia yeye alikua ni waziri wa ulinzi. Kosa ni hao upande wa mashitaka walioziondoa hizo transactions, kitu kinachoonyesha nia yao ni kuwafunga kwa hila tu. Hakukua na sababu ya kuondoa baadhi ya miamala, kama ushahidi wao ni genuine.Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.
Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Sasa kama haipo kwenye orodha ya miamala, utetezi wametoa wapi?, Itajua kazi bure maana Airtel bado watakana
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nyinyi ni pumba sana ndiyo maana mapingamizi yenu mengi yanashindwa mahakamaniKwa ufinyu wa akili yako huwezi kujua maana yake.
Wewe bwege tu huelewi chochote!Sorry, sijibishani na vichaa
Sorry, sijibishani na vichaa
Kwanini wamefIcha hizo taarifa?Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
Mungu yupo na chademaTuliwaonya wakatupuuza , sasa tunafumua kila kitu , LIWALO NA LIWE
Kibatala atamuua huyu kwa preshaBado kibatala
Sawa! Shut up thenWewe bwege tu huelewi chochote!
Mkuu uelewa wa hawa jamaa ni shida tupu! Wanasheria wao wanawaingiza mkenge kila siku! Wanaacha kufuatilia mambo ya muhimu kuhusu kesi hiyo. Sasa eti pesa ya Mwinyi imekuwa issue kwani huyo Gaidi Bwire hajawahi kutumiwa pesa na mtu mwingjne zaidi ya Mwinyi na Mbowe!! Issue hizo pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa kwa ajili ya kusaidia ugaidi.Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
Uelewa wako mdogo sana wewe!!Sawa! Shut up then
Alikua best ake na akambomolea billicanas,kaharibu shamba lake etcjiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
Wewe ni mbwa na mjinga wa mwisho, hivi ukituma pesa kwa mtu inaeleza malengo ya hio pesa au unaleta tu utoto wako? Shenzi weweUnaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Hili swali limezua mshituko sana huko kwa watu waliochonga hii kesi na kwa jamii kwa ujumla, watasema ilikuwa kwa nia njema , sijui wataiprove vipi ili itofofautiane na nia ya Mbowe ...Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.
Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Sio makosa sasa kwanini Mbowe anatuhumiwa kutuma laki 5 za kufadhili ugaidi kwani na yeye kafanya kosa kutuma laki 5?Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
Ona ulivyo bwege eti "inaeleza malengo" !! What I can conclude is Don't arque with a fool people might not notice the difference!! Bye!!Wewe ni mbwa na mjinga wa mwisho, hivi ukituma pesa kwa mtu inaeleza malengo ya hio pesa au unaleta tu utoto wako? Shenzi wewe
Sikuwa interested kufuatilia hii kesi niliona nitaumia tu,ila sshv nitaanz kufuatilia.Ewaaaaaaa, kama sio kosa, kwanini Mbowe akamatwe kwa kuwatumia pesa Akina Adamoo? Kote kwa moto