Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Inawezekana alikua anamsaidia commando wake baada ya kuwa hana kazi, ukichukulia yeye alikua ni waziri wa ulinzi. Kosa ni hao upande wa mashitaka walioziondoa hizo transactions, kitu kinachoonyesha nia yao ni kuwafunga kwa hila tu. Hakukua na sababu ya kuondoa baadhi ya miamala, kama ushahidi wao ni genuine.Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.
Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?