Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.

Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Inawezekana alikua anamsaidia commando wake baada ya kuwa hana kazi, ukichukulia yeye alikua ni waziri wa ulinzi. Kosa ni hao upande wa mashitaka walioziondoa hizo transactions, kitu kinachoonyesha nia yao ni kuwafunga kwa hila tu. Hakukua na sababu ya kuondoa baadhi ya miamala, kama ushahidi wao ni genuine.
 
Sasa kama haipo kwenye orodha ya miamala, utetezi wametoa wapi?, Itajua kazi bure maana Airtel bado watakana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Utapata ugumu sana kuelewa haya mambo! Hata ushahidi wa Airtel unaweza kuwa umechezewa na ndio maana ya shahidi kuhojiwa. Labda nikukumbushe hili, taarifa zilizotolewa na Airtel ni za namba husika tu.

Sio za shughuli ya simu katika kipindi husika. Sasa utetezi unataka kuonesha kuwa mteja alitumiwa katika kipindi hicho hicho na wanataka rekodi hiyo iwepo. Ili kuwe na dhana kuwa si taarifa za kutumiwa pesa wala kutuma pesa ziko katika ripoti za airtel.

Ninaona kesi katika kesi tena hapa!!
 
Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
Mkuu uelewa wa hawa jamaa ni shida tupu! Wanasheria wao wanawaingiza mkenge kila siku! Wanaacha kufuatilia mambo ya muhimu kuhusu kesi hiyo. Sasa eti pesa ya Mwinyi imekuwa issue kwani huyo Gaidi Bwire hajawahi kutumiwa pesa na mtu mwingjne zaidi ya Mwinyi na Mbowe!! Issue hizo pesa alizotumiwa na Mbowe zilikuwa kwa ajili ya kusaidia ugaidi.
 
jiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
Alikua best ake na akambomolea billicanas,kaharibu shamba lake etc
 
Unaona ulivyo pumba!! Unachotakiwa kujua pesa iliyotumwa na Mbowe ili kuwa kwa ajili gani na pia iliyotumwa na Mwinyi ilikuwa kwa ajili gani? Kweli Chadema ina nyumbu wengi sana!
Wewe ni mbwa na mjinga wa mwisho, hivi ukituma pesa kwa mtu inaeleza malengo ya hio pesa au unaleta tu utoto wako? Shenzi wewe
 
jiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
 
Uoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.

Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Hili swali limezua mshituko sana huko kwa watu waliochonga hii kesi na kwa jamii kwa ujumla, watasema ilikuwa kwa nia njema , sijui wataiprove vipi ili itofofautiane na nia ya Mbowe ...
 
Tujiulize Kutuma hela ndio key Point ya Mbowe kushikiliwa na Jamhuri kama ndio Key point basi wale wote waliomtumia Bwire pesa wakatamatwe akiwemo Husein Mwinyi kama sivyo basi Mbowe aachiwe. Mbowe ni Kiongozi na Hussein ni kiongozi pia
 
Wewe ni mbwa na mjinga wa mwisho, hivi ukituma pesa kwa mtu inaeleza malengo ya hio pesa au unaleta tu utoto wako? Shenzi wewe
Ona ulivyo bwege eti "inaeleza malengo" !! What I can conclude is Don't arque with a fool people might not notice the difference!! Bye!!
 
Back
Top Bottom