Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunu ya Taifa Ni Jiwe shenziMbowe "Tunu ya Taifa" [emoji23][emoji23][emoji23]hafungwi Kama Besigye
Hapana Salary slip, review upya maoni yako. Kesi hii kuanikwa hadharani ni muhimu sana kwa mustakabali ya haki nchini. Acha mvua iendelee kunyesha ili tuone panapovuja. Huko mbele hata walipoweka lami patadondosha maji.Ni kweli wanaumbuuka, ila wao wana agenda yao na pengine hiyo ndio muhimu zaidi kwao.
Haya hukuona Kingai ili umpe ayaseme mahakamani? Mbona alipoulizwa kama Mbowe alikimbia kesi alikanusha mahakamani? Au kati yako na Kingai Nani shahidi muhimu? Kumbe wanaposema kesi hii imetengenezwa na Usalama wa taifa na kukabidhiwa Polisi wamalizie wako sahihi? Maana Polisi tunaowajua wasingeweza kutengeneza upuuzi wa aina hii wakaiiita kesi ya Ugaidi. Tangu 1998 Polisi wa Tanzania wanaujua Ugaidi baada ya kufundishwa na Wamarekeni, TISS ndo wamebaki wabangaizaji na wabambikia kesi wakiongozwa na think tanks za Makonda na Sabaya.Serikali siyo wajinga kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi. Mbowe mwenyewe anajuwa namna alivyolikoroga.
Muulizeni kati ya Desemba 2020 na March 2021 mpaka tunamzika DIKTETA Magufuli alikuwa wapi? Muulizeni ni kitu gani aliomba kwenye ubalozi wa Denmark na alijibiwa nini?
Nendeni na ubalozi wa Canada mkaone status ya papers zake kwa alichokiomba. Mmasingizia alikuwa kwenye biashara zake Dubai, ana biashara gani Dubai?
Kwa nini Serikali ihangaike kumtengeneza Mbowe mashtaka ya kubumba? Ni nguvu gani aliyonayo?
Mbowe alitaka kuweka nchi kwenye status of instability immediately baada ya uchaguzi kukamilika. Serikali ilipogundua njama ndipo akalazimika kukimbia.
Nani kasikia masekondari ya shule za Kisslami yanachomwa tena baada ya Mbowe kuwa mikono salama pale Ukonga?
Na kwa kiasi kikubwa amshukuru Samia ambaye ameacha Mahakama itende haki kwani ingekuwa hajawahi kukimbia nchi wakati wa Mwendazake, saa hizi Mbowe angekuwa na msaidizi wake Ben Saanane huko kuzimu.
Nashangaa Wana CDM mnamtukana Rais SSH eti DIKTETA mwanamke wakati ameacha uhuru wa habari na utawala wa sheria uendelee.
Hata baba yako alipendekeza njia hiyo.hivi hamuwezi kuandamana?
Shenzi Mimi au mama yakoTunu ya Taifa Ni Jiwe shenzi
Mama yakoShenzi Mimi au mama yako
Unataka dushe Nini..sio kwa shobo hiloMama yako
Wiki iliyopita tu walizusha kwamba Kibatala kajitoa kabaki Mtobesya.Wakijitoa sasa hivi MATAGA watasema mawakili wa mboe wameona wamezidiwa na hivyo kuamua kujitoa,kwa hali ilivyo bora wapambane kupAngua ushaidi mpaka mwisho ili wote tuone vioja vinavyoendelea huko mahakamani
Nadhani kwa hii comment mjadala umesha ufungaSio wazo baya, ila mimi nashauri waombe mwenendo wa kesi toka kwa jaji, kisha hapo wataona nini jaji anaandika, baada ya hapo watajua nini kinaendelea nyuma ya pazia. Wakiona mwenendo wowote uonaoacha shaka, ambao nina uhakika upo wachukue uamuzi wa kujitoa kwani hawana imani na mahakama. Nasisitiza waseme hawana imani na mahakama na sio jaji tu. Kisha wairuhusu mahakama itekeleze inachoagizwa na serikali.
Kitu ambacho Mbowe anatakiwa kukaa nacho mbali kwa sasa na akitoka salama ni ushauri wa Lema na Lissu.
Si ajabu ni ushauri wao ndio uliomfikisha huko alipo na wenyewe washasepa.
Ni watu hao hao walimshauri pia CDM isusie viti maalum bila ya ridhaa ya hakina mama, matokeo yake wakavichukua kwa mlango wa nyuma na kupelekea mgawanyiko.
Kuondoka kwa hakina Halima Mdee kumeacha pengo kubwa sana CDM. Mbowe mahakama ndio itaamua mwisho wa siku. Pamoja na hayo Halima Mdee alikuwa mzuri sana kwenye kutoa pressure serikalini na mhamasishaji yaani hii kesi ya Mbowe angeigeuza ya ukandamizaji wa demokrasia kwa namna yake ya kuleta vurugu huko mahakamani.
Mfano polisi kuwapangisha mstari kuingia ndani ya mahakama au treatment zingine CDM wanazopewa wakienda mahakamani angetumia fursa hiyo kutengeneza mazingira ya uonevu wa polisi na ku associate na kesi yenyewe huku kesha kura virungu kadhaa na nundu za kuonyesha.
Mama juzi alikuwa Glasgow zile picha na wababe wa dunia sio photo shop maana yake huko kwa mabeberu awajali kesi ya Mbowe; sasa akiacha kupigana mwenyewe si anakwenda jela kirahisi bila ya kupambania uhuru wake.
Wapi alibadili approach? Una ushahidi?Kwahiyo wewe mawazo YAKO ni yapi zaidi ya kutuletea mawazo ya Lema?
Unajua implications za hiyo hatua anayopendekeza Lema?
Unajua kuwa Lissu tangu mwanzoni mwa hii kesi alifikiri hivyo na baadae wakabadili approach?Unajua kwa nini walibadili?
Unajua kuwa upande wa utetezi au jamhuri muda wowote wanaweza kuomba mabadiliko ya jaji kama wanakuwa na sababu za msingi za kufanya hivyo?
Salary Slip, ukikaa kimya maana yake ni nini? Si watapata sababu kwamba umedharau mahakama? Dunia itapata wapi ufafanuzi kwamba huna hatia? Kesi iendelee hadi mwisho, ili ijulikane nani muongo na nani mkweli.Ni kweli wanaumbuuka, ila wao wana agenda yao na pengine hiyo ndio muhimu zaidi kwao.
Saada Mkuya ni mchepuko wa Mbowe!!???Wenye nguvu ya maamuzi kesi ya mbowe ni familia na sio chama acheni kujidanganya mitandaoni. Chama kiliisusa kesi,familia wakaingilia kati
Yeye lema katolea mfano uamuzi wa mkewe. Hivyo ujumbe wake ungemlenga mke wa mbowe au mchepuko mkuya(kama ana nguvu za kifamilia)
Kwa kuwa unazo taarifa za alichokiomba na alicho jibiwa katika balozi ulizo zitaja, ni vyema ungeziweka wazi taarifa hizo ili kuimarisha hoja yako.Serikali siyo wajinga kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi. Mbowe mwenyewe anajuwa namna alivyolikoroga.
Muulizeni kati ya Desemba 2020 na March 2021 mpaka tunamzika DIKTETA Magufuli alikuwa wapi? Muulizeni ni kitu gani aliomba kwenye ubalozi wa Denmark na alijibiwa nini?
Nendeni na ubalozi wa Canada mkaone status ya papers zake kwa alichokiomba. Mmasingizia alikuwa kwenye biashara zake Dubai, ana biashara gani Dubai?
Kwa nini Serikali ihangaike kumtengeneza Mbowe mashtaka ya kubumba? Ni nguvu gani aliyonayo?
Mbowe alitaka kuweka nchi kwenye status of instability immediately baada ya uchaguzi kukamilika. Serikali ilipogundua njama ndipo akalazimika kukimbia.
Nani kasikia masekondari ya shule za Kisslami yanachomwa tena baada ya Mbowe kuwa mikono salama pale Ukonga?
Na kwa kiasi kikubwa amshukuru Samia ambaye ameacha Mahakama itende haki kwani ingekuwa hajawahi kukimbia nchi wakati wa Mwendazake, saa hizi Mbowe angekuwa na msaidizi wake Ben Saanane huko kuzimu.
Nashangaa Wana CDM mnamtukana Rais SSH eti DIKTETA mwanamke wakati ameacha uhuru wa habari na utawala wa sheria uendelee.
Mbona yeye aliikimbia nchi Kama rahisi hivyo.Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia kaongea na katibu mkuu wa chama na anapanga kuongea na makamu mwenyekiti wa chama kuhusu jambo hili. Isitoshe, Lema kakumbusha uamuzi wa mke wake kutoa mawakili wakati ule wa kesi ya yake alipokuwa ananyimwa dhamana.
Katika kufafanua, Lema kataja mapungufu kadhaa yanayoonekana katika hii kesi na mfano mmojawapo ni Jaji kutumia mawazo yake(opinion) kufanya maamuzi badala ya kutumia vifungu vya sheria katika kuamua mapingamizi. Mbali na kutaja mapungufu yanayojitokeza, Lema anahoji kama katika hatua hizi za mwanzo taratibu zinakikuwa, tunatarajia kweli hukumu itakuwa fair?(swali la msingi sana hili).
Binafsi naungana na Lema kuwa kuna umuhimu wa kuondoa mawakili na Mbowe akae kimya mahakamani tuwaache wafanye wanalotaka kufanya. Hapa tunarudia kosa lilelile la kuwa wagumu kufanya maamuzi kama tulivyofanya kwenye kususia chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiokuwa huru. Na hapa niwaambie tu, wakifanikiwa kumfunga Mbowe halafu tukalalamika kuwa taratibu zilikiukwa, majibu yao(MATAGA) yatakuwa mawili: (1) kwanini hamkujitoa (2)Mkakate rufaa kama hamridhiki na maamuzi ya mahakama.
Kuhusu hili la kusubiri kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga kitachoamuliwa, naungana pia na Lema kupinga hoja hii kwani hata hao Majaji wa Mahakama ya Rufaa upatikanaji wao ni ule ule wa kuteuliwa na Raisi,hivyo bado lolote linaweza kutokea. Kwahiyo, nashauri viongozi wa CHADEMA na wana familia ya Mbowe watafakari upya kama ni sahihi kuendelea kuweka mawakili mahakamani au Mbowe akae kimya na awaache waamue wanavyoona inafaa.
View attachment 2001948
Serikali siyo wajinga kumfungulia Mbowe kesi ya ugaidi. Mbowe mwenyewe anajuwa namna alivyolikoroga.