Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

Lissu siyo chawa hivyo kama unataka kuona maneno ya rangi unayoyapenda sahau. Hayo mambo kamwambie mumeo akuambie
 

Mbeba maono hafi!
 
Hakuna mambo ya kubembelezana lisu Magufuli aliasisi haya yote
 
Mkuu hii ndio kazi ya ukweli, ukweli huwa Mgumu Sana kuupokea, naona hata Wewe unapata shida kuupokea
 
Liss is another level. Kumbe watu hufungwa kwa kutojiamini. Lissu atatoka labda wamfanyie uhuni. Kufkia hapo hajamtaja samia saana. Yaan amepigana vita awamu zote na bado anaendelea tu. Mungu akusaidie
Lissu amepitia mtihani mingi, na ktk mtihani yoote alishinda hadi Wa Ireland wa bonde la rufiji
 

..usimlaumu Lissu.

..mlaumu Magu kwa kutuma watu wakamuuwe Lissu.
 
Tundu Lissu ni mwanasiasa anajiamini na anaamini kwenye uwezo wake kuliko mtu mwingine yoyote, namna atakavyojitetea mwenyewe ni tofauti na mtu mwingine atakavyomtetea ndio maana akaamua ajitetee mwenyewe.
Huyu amekomaa ajiteteee ajiteee. Najiuliza Lissu kujitetea mwenyewe yeye anateseka na nini?
 
Ameamua kutokuwa mnafiki. Anaeleza kitu kama kilivyo siyo kama kundi fulani linavyotaka kusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…