Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Ila huyu Tundu Lissu ni hazina kwa Taifa Sio tu anajitetea kwenye kesi Bali anatoa na darasa la Sheria hadi kwa majaji
 
Na wameunganisha tena 😹
 
Pamoja na Yote hii kauli ilikuwa ni ya kibabe Sana🀣🀣
 
Manyanza tulia basi shusha upadates hizo 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…