Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026


Alikuwa anatarajia
Nini nguchiro huyo
 
Which blunder?. Yani kesi ya uhaini DCI, IGP and CDF Wana kula Kona kuja mahakamani kusema wanachojua kuhusu uhaini. Uhaini Gani huo?
Mahakama ingetaka kujua maana kutoka kwao ingewaita kwa minajili hiyo.
Mahakama haikuwa na hitaji hilo.
Lissu Aliita mashahidi wake ambao wamemkatalia
 
huna haja ya kuweweseke wala kubabaika na maoni yangu.

toa maoni yako huru jukwaani bila mihemko wala makasiriko dhidi ya mitazamo huru ya wengine na itapendeza zaidi gentleman 🐒

Kwa usumbufu aliousababishia mahakama dawa yake baada tuh ya kifungo ni kupigwa miti wiki tatu mfululizo ili akili imkae sawa huyo Dotto magari wa kuchovya
 
Hatutaki wanaofanya kazi chini yao tunawata wao wenyewe wake mahakamani waseme wanachojua kuhusu huo uhaini.
Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaji mfafanuzi wa uhaini.
Msifanye mzaha kwenye mambo serious
 
Hibo nikiandika wewe ni kum*** au nikakwambia kua wewe unat*** mbwa nitakua nimetukana?
 
Ukiona hivyo majibu yameshapangwa hakuna jaji nchi hii asiye nunulika
 
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafanya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
 
Mahakama ingetaka kujua maana kutoka kwao ingewaita kwa minajili hiyo.
Mahakama haikuwa na hitaji hilo.
Lissu Aliita mashahidi wake ambao wamemkatalia
Mahakama Haiti tu watu, Bali wanakuja kama mashahidi. Na kama wanaitajika ma mahakama watakuja kama marafiki wa mahakama.
 
Hatutaki wanaofanya kazi chini yao tunawata wao wenyewe wake mahakamani waseme wanachojua kuhusu huo uhaini.
Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaj
Acha uongo wewe. Mashtaka yapo chini ya DPP
Unatenganisha vipi kazi za DCI na DPP??
 
Kesi imeisha, Tundu Lissu hana kosa lolote.
Bora kichaa kuliko wauaji wanaoua ndugu zetu ili kuongoza kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…