Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Rejea hoja yako usiwe kinyonga muongo muongo na mtu wa kuspin.
Hoja yako ya kumuhitaji DCI,IGP na CDF ni kuja kueleza maana ya uhaini...nikakujibu maana ya uhaini imeshaandikwa na haihitaji ufafanuzi.
Kuhusu ushahidi wa kuonesha kuwa mshtakiwa ametenda kosa tayari mawakili wa serikali waliwasilisha orodha yao ya mashahidi na wakafika kutoa ushahidi na mtuhumiwa aka wafanya dodoso.
Tatu mshtakiwa alipewa fursa na haki ya kuleta mashahidi wa kumtetea ...akapanga mashahidi wake na aka weka na utani wa kutaka waliomshitaki kuwa watetezi wake...sasa waliomshtaki hawataki mzaha katika mambo serious...tusubiri hukumu
 
Kingai bora katema Bungo angeaibika.
 
Wewe kweli zezeta na stupid idiot. Kwa hivyo nabishana na idiot. Yani Mimi nadai waje waelezee uhaini ulivyokuwa, wewe unaleta ubishi wa kijinga eti waelezee maana ya uhaini. Yani machawa wa CCM ni zero brain.
 
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi kuku wa kienyeji anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Ilo bao baba yako si bora lingemtoka tu akiwa usingizini, au angelizuia na mipira ukatupwa chooni🚮
 
Mtego huwezi kuuona ukiwa kipofu. Yani kesi ya uhaini DCI Hana la kusema? IGP? CDF?
Wamesema na Lissu mwenyewe katuambia walichosema. We hayo ya kwamba eti hawana cha kusema umeyatoa wapi kama sio mzushi?
 
What a blunder! Lisu ameonyesha ototo wa hali ya juu sana.Mimi nilijua Kuna mitego ameiweka kumbe maneno hewa. Basi asubiri huruma za rais
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi Bata maji anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Kwa usumbufu aliousababishia mahakama dawa yake baada tuh ya kifungo ni kupigwa miti wiki tatu mfululizo ili akili imkae sawa huyo Dotto magari wa kuchovya
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi mtoto wa miaka 3 anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…