THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi mtoto wa miaka 3 anaweza kukuzidi akili
Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
Anakazi ya kushupaza shingo utasema mla tambi gizani.Huna akili sababu umetoa mavi tumboni umepeleka kichwani..!!
Huyo DCI alitakiwa atoe ushahidi anaoujua na sio kujibu eti atakuwa upande wa waovu.
Lissu kasababisha matatizo gani zaidi ya nyie veggies kumpiga risasi na kumpotezea muda wake huko gerezani? Muwe na aibu nyie machawa mnaovimba matumbo kwa kodi za wananchi..!!
Kwa taarifa yako hanyongwi boss wako anaaha leo kesho wayamalize. Nakushangaa wewe mtumwa wake umejaa kisebengo kushadadia ujinga..!!
Huu ndio ukweli. Naona watu wanaukimbia. Kitendo cha DCI kukimbia ni loophole kubwa.Kesi imeisha, Tundu Lissu hana kosa lolote.
Waliotakiwa kuelezea uhaini ulivyokuwa wameshafanya hivyo...ulitaka mashahidi wa theory wakati wa practical wapo??...."boda boda" wanatosha kuelezea kilichofanyikaWewe kweli zezeta na stupid idiot. Kwa hivyo nabishana na idiot. Yani Mimi nadai waje waelezee uhaini ulivyokuwa, wewe unaleta ubishi wa kijinga eti waelezee maana ya uhaini. Yani machawa wa CCM ni zero brain.
DPP ni mashtaka na DCI ni upelelezi.Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaj
Unatenganisha vipi kazi za DCI na DPP??
shida ni kuona aibu. Masheitwani yanaona aibu. Ila Mungu yupo!!!!! yupo upande wa hakiKesi imeisha, Tundu Lissu hana kosa lolote.
Tangu kesi inaze hakuna shahidi kaelezea uhaini ulivyokuwa. Ndio maana Lissu akaomba waletwe DCI, IGP na CDF maana hao Wana taarifa zote nyeti kuliko hao makoplo wa Polisi na bodaboda. Sasa nao wamekula Kona, nani atatusaidiaWaliotakiwa kuelezea uhaini ulivyokuwa wameshafanya hivyo...ulitaka mashahidi wa theory wakati wa practical wapo??...."boda boda" wanatosha kuelezea kilichofanyika
Si ndio kuacha ndala kwenyewe. Angekuwa mwanaume angekomaa.Yaone mazombie km huyu, Kingai ameshakataa kutoa ushahidi bado kuna kenge km huyu hajui ht kinachoendelea, wafuasi wengi aa chadema ni watu wenye matatizo ya akili, ni watu wenye stress za maisha na wakifikiri kuna mtu amewaletea ugumu wa maisha na kuna mtu atawasaidia.
Mungu kuwa shahidi huwa inatokea mara nyingi tu. Ni pale mtu anapojitetea mwenyewe. Usisahau Mungu ni RohoMahakama haikuwahitaji ....aliyewahitaji ni mshitakiwa ....na kwa uungwana wa mahakama ikamsaidia kumpa summons ili angalau afanikiwe kuwapata japo haikuwa sawa.
Katuga alisema :kuna siku mtu ataomba Mungu awe shahidi wake sijui ni kwa vipi atapatikana
Majaji wamepitishwa kwenye ushahidi na wameoneshwa namna uhaini ulivyokuwa na aliyeshiriki...na ushahidi wa mashtaka ulishafungwa....kesi ya kujibu ilikuwepo .....ulibaki utetezi.Tangu kesi inaze hakuna shahidi kaelezea uhaini ulivyokuwa. Ndio maana Lissu akaomba waletwe DCI, IGP na CDF maana hao Wana taarifa zote nyeti kuliko hao makoplo wa Polisi na bodaboda. Sasa nao wamekula Kona, nani atatusaidia
Sikiliza. Tangu kesi inaanza hakuna shahidi yoyote kaelezea uhaini ulivyopangwa na kutekelezea. Sasa Lissu kaomba Hawa wakuu wa usalama maana Wana taarifa zote wake watoe taarifa ya wanachojua kuhusu uhaini uliofanyika. Lissu aliowaita akijua hajafanya uhaini.Ina maana Lissu alikuwa anaamini kabisa Kingai angekuwa upande wake?!
Sawa, ni kiongozi wa umma, lakini Lissu hajui kama Kingai ameteuliwa na Rais?
Sababu zile zinazofanya Chadema wasusie uchaguzi, kwamba tume sio huru, Lissu hakuona kama zilikuwa zina apply leo kwa Kingai?!
Mimi nilijua kabisa Lissu anajua Kingai angegoma kuwa upande wake, ili awaombe majaji amfanyie Kingai cross examination, but .....!!
Kwa hizi mahakama za simu moja ulitegemea wasimkute na kesi ya kujibu?Hana kosa na mahakama imemkuta na kesi ya kujibu na watetezi wake wenyewe ndo wale mafala kama heche ambao kila walichokawa wanaulizwa walikuwa wanasema hawajui??
Nikujibu TU Kwa faida ya wajinga wenzakoWamekataa sasa kumpa ushirikiano,we ulidhani yeye kingai fala hadi ampe nafasi lisu ya kumfanyia cross examanition??
Hicho kidole kajitia mwenyewe lisu
Hao wakuu ni mali ya Samia, na Samia ndie mtengeneza kesi ya uhaini kwa Lissu!Sikiliza. Tangu kesi inaanza hakuna shahidi yoyote kaelezea uhaini ulivyopangwa na kutekelezea. Sasa Lissu kaomba Hawa wakuu wa usalama maana Wana taarifa zote wake watoe taarifa ya wanachojua kuhusu uhaini uliofanyika. Lissu aliowaita akijua hajafanya uhaini.
Naomba nikusahishe. Hakuna mahali mahakama imeelezwa uhaini ulivyopangwa na kutekelezwa. Maana mhaini ni mmoja. Ila mahakama ilisema Kuna kesi ya kujibu kutoka kwa mtuhumiwa, kwa sababu hakuna ubishi kwamba yale maneno yalitamkwa. Sasa wanaangalia kama yake maneno yaliambatana na mpango wa uhaini.Majaji wamepitishwa kwenye ushahidi na wameoneshwa namna uhaini ulivyokuwa na aliyeshiriki...na ushahidi wa mashtaka ulishafungwa....kesi ya kujibu ilikuwepo .....ulibaki utetezi.
Utetezi hauwezi kufanywa na aliyeshitaki na aliyekushitaki hawezi kukuonea huruma dakika za maamuzi
Kukimbia kwa kina Kingai ni sawa na kumsafisha LissuMwenyekiti wenu uwezo wake wa kufikiri umepungua alitegemea DCI amtetee kwenye uhaini wake?