GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wengine tulianza kufunga maduka mapema 😆😆
Maana tunajua wangekinukisha mpk kwenye biashara zetu
 
Mkuu hpo unataka ubishani usio na msingi.magu alifungia mpk mikutano hakuna
Lisu na wengine wengi walikimbia nchi
Alipoingia Samia c vyote aliweka sawa
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Kwa hivyo Samiah hakuwepo kwenye serikali ya Magu?
 
Umemkaba kisawasawa maana jaji hakuishia kwenye neno la PUBLICATION, ya mbele katunga hataki kuyasema
Tatizo ni mhimili mmoja kuendeshwa na mhimili mwingine

Kangaroo Courts.

Wanapoteza muda wao kwa kuziamini na kuhangaika na Mahakama za Nchi hii. Mahakama zetu tayari zilishapoteza dira na mwelekeo tangu miaka mingi iliyopita.
Hukumu za HAKI kamwe hazitaweza kupatikana kwa kupitia kwenye Mahakama hizi. Maamuzi ya Haki na Usawa katika Nchi hii kwa sasa ni lazima yapatikane nje ya Mahakama.

Shujaa na Hayati Hamza Mohammed wa tukio la pale Sealander Bridge Dsm kamwe hakuwahi kuugua kichaa.
 
Mbowe ndiyo anamchochea mama mkoloni kaburu toka Zanzibar ili apige pesa za kuuza wana chadema Dhaifu kule Chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm, njama za kumtekeza Lisu zote zimepangwa na mbowe kisha akawashirikisha ibilisi wa ccm kwa kutumia polisiccm, mahakamaccm, magerezaccm wanaendelea kumtesa Lisu ukiwa ni uonevu mkubwa sana
 
Umemkaba kisawasawa maana jaji hakuishia kwenye neno la PUBLICATION, ya mbele katunga hataki kuyasema
Kweli kabisa. Naona ni kama Wakili wa serikali hawakujiandaa kusoma committal leo. wanapoteza muda tu.
 
Hakuna MTU anayeweza kupambana na TAL na akamshinda yule jamaa ni MTU imara Sana na MchaMungu
Mchamungu 😆😆angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
 
Hakuna MTU anayeweza kupambana na TAL na akamshinda yule jamaa ni MTU imara Sana na MchaMungu
Mbowe anatumia uwepo wa Lisu jela kuwa ni fursa ya kupiga pesa toka ccm, adui mkubwa wa lisu ni mbowe kwani sasa anafanya kila mbinu chadema idhoofike apate kurejea kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUF
 
Aisee.....nachoona hapa Jamhuri haina Mashtaka na wala haina nia ya kumshtaki Lissu. Wanachofanya ni Delaying Tactics tu.
Honget Adv Nassor una future nzuri huko tuendako. Unaifanya kazi kww weler
 
Aisee.....nachoona hapa Jamhuri haina Mashtaka na wala haina nia ya kumshtaki Lissu. Wanachofanya ni Delaying Tactics tu.
Honget Adv Nassor una future nzuri huko tuendako. Unaifanya kazi kww weler
Adv Nassor anatoke upande upi ?
 
Huyo mbowe ni wenu wana chadema mmemlea wenyewe na kakilea chama chenu
Mlikua mko nae kwa kila jambo hata alipovunjika mkono kisa konyagi bdo mlikua mko nae saiv mna muona taka taka 😃
 
Mchamungu 😆😆angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
Ushoga alitetea lini? usipende kuongea jambo la uongo kisa tu Lissu sio wa chama chako.
 
Mbowe anatumia uwepo wa Lisu jela kuwa ni fursa ya kupiga pesa toka ccm, adui mkubwa wa lisu ni mbowe kwani sasa anafanya kila mbinu chadema idhoofike apate kurejea kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUF
Ahaaa mjinga yule mchanga mwizi
 
Mbowe anatumia uwepo wa Lisu jela kuwa ni fursa ya kupiga pesa toka ccm, adui mkubwa wa lisu ni mbowe kwani sasa anafanya kila mbinu chadema idhoofike apate kurejea kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUF
Mbowe hawezi kurudi CHADEMA walishamkataa na hata siasa zake za ulaghai zipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…