GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hio apelekwe mahakama gani?
Ya kenya au uganda
 
Yani Lissu anataka kesi iskilizwe kweupe ila serikali inataka kesi iwe ya kificho. Yani magereza wamejificha na mashahidi wamejificha kwenye kesi yenye maslahi ya umma?
 
Mchamungu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
Kwahiyo hiyo serikali yako ya CCM ni lini iliwahi kukataa ushoga hapa nchini km sio haki ya raia wao walioamua kuwa hivyo?

Nijibu hapaa, ili nikukande vizuri na huyo uongo wako.
 
Huyo mbowe ni wenu wana chadema mmemlea wenyewe na kakilea chama chenu
Mlikua mko nae kwa kila jambo hata alipovunjika mkono kisa konyagi bdo mlikua mko nae saiv mna muona taka taka ๐Ÿ˜ƒ
Mbowe toka ashindwe kwa kura kwenye uchaguzi wa chadema amegeuka na kuwa Alishababu, Alikaida gaidi wa ndani ya chadema na Dalali wa Siasa kuuza G55 ya Akina Salam mwalimu huko ccm na wao kuwaisokomeza Chauma ubwabwa chama mchepukaji wa ccm
 
Kma huyajui hayo mambo me cko kukupa elimu hio
Suala la kutishia amani ya nchi wakili msomi atakifikisha mahakamani ๐Ÿ˜†
Wee ni kilaza, weka hapa huyo ushahidi lissu akitetea ushoga/mashoga, na mie nikuwekee official statement za viongoz wakuu wa nchi juu ya masuala ya utetezi wa ushoga/Mashoga
 
Kwani wana wasiwasi wa nini si wanasema watashinda kwa kishindo?? Wamuachie btw hawashiriki uchaguzi so sioni sababu ya kuhangaika naye ikiwa wana uhakika wa kushinda!!
 
Ndio huyo Katuga anayechelewesha muda. Baadala ya kutekeleza maagizo ya Mahakama Kuu analeta maombi mapya na mabishano.
Dawa yao ni kuwashitaki mahakama ya uhalifu ya ICC The Hague ndipo watazinduka waache kuwaonea chadema
 
Hakimu anataka kuhairisha kesi kwasababu ya kufanya maamuzi ya mapendekezo ya Mawakili wa serikali na pingamizi la Lissu
 
Kwahiyo hiyo serikali yako ya CCM ni lini iliwahi kukataa ushoga hapa nchini km sio haki ya raia wao walioamua kuwa hivyo?

Nijibu hapaa, ili nikukande vizuri na huyo uongo wako.
Kuanzia utawala wa kikwete hili jambo walipinga vikali na tukatishiwa kutopewa misaada
Kikwete alizuia meli iliyokua na wanaharakat za upinde ikarudi huko huko kwao.
Msimamo wa serikali mpk leo umepinga huo upuuuzi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Sikandikiii๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ