Tanzania hawafuati sheria walizoandika wenyewe . Ipi hivi; Tanzania kuna boss ambaye ni miongoni mwa watumishi anaweza kuwa principal , mkubwa wa kitengo , au meneja sasa hao wengi hawafuati sheria kabisa kwa kutumia vitisho ni mwendo wa kupelekeshwa mara utasikia ''kesho muwahi mapema au kesho mtachelewa kutokan '' yaani wanaongea kirahisi ili mradi wasichukulie ishu yenye uzito katika kuiba muda wa zaida wa mtumishi .
Wengine wana msema ''haki yako ni mshahara tu , posho zinaweza kufutwa muda wowote ule ". Nina uhakika hata ukitaka kutajiwa kuna taasisi hazilipi overtime tena wanatisha watu mpaka wameacha kudai pesa , taasisi nyingine wanakula pesa hizo kwa siri analipwa meneja , mkuu wa ktengo au principal tu ila subordinates hawalambi hata mia.