Kibongo Bongo wafanyakazi hawazijui Sheria za kazi. Wananyanyasika sana bila kujua haki na wajibu wao

Labda kama uko kwenye spesho misson, ambako huwa pia kuna compasation kwa mamna tofauti.

Unao mkataba wa ajira yako na umeusoma?
Hili suala lipo serious ni wengi hawawezi kusema ila kweli lipo sana tu .
 
Habari,

Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo inatakiwa kulipwa overtime. Lakini ukiangalia kwenye kampuni nyingi na mashirika ya umma Sheria hizi hazizingatiwi. Boss anaweza kupanga mda wake anavyojisikia na wafanyakazi wakafuata bila shurti bila kujali haki zao zinapotea. Unakuta siku kama ya leo ni Maulid ila boss akaamua muende kazini bila kuwa na allowance yoyote na usipoenda kazi huna😂😂😂. Kweli kwa mfanyakazi kutoboa kibongobongo ni kazi sanaaa

Muwe na siku njema!
Hats kuisoma she ria ye ye we hawataki.
 
1: Una mkataba wowote wa hiyo kazi?
Kisheria muda wa kufanya kazi kwa siku masaa manane. Zaidi ya hapo ulipwe extra hours. Kwa wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa muda wa kuanza kazi ni saa 1:30 asubuhi hadi 9:30 mchana. Kwa kuweka utaratibu huo walidhamiria mfanyakazi afanye kazi muda wote wa masaa manane bila kula au mfanyakazi mwenyewe ajiongeze?
 
Hao ni vibarua WA mkataba WA siku! Hakuna mtumishi WA umma (asikari wote hii Sheria haiwahusu) anafanya kazi zaidi ya masaa45 kwa wiki isipokuwa chawa na viherehere.
 
Kisheria muda wa kufanya kazi kwa siku masaa manane. Zaidi ya hapo ulipwe extra hours. Kwa wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa muda wa kuanza kazi ni saa 1:30 asubuhi hadi 9:30 mchana. Kwa kuweka utaratibu huo walidhamiria mfanyakazi afanye kazi muda wote wa masaa manane bila kula au mfanyakazi mwenyewe ajiongeze?
Tanzania hawafuati sheria walizoandika wenyewe . Ipi hivi; Tanzania kuna boss ambaye ni miongoni mwa watumishi anaweza kuwa principal , mkubwa wa kitengo , au meneja sasa hao wengi hawafuati sheria kabisa kwa kutumia vitisho ni mwendo wa kupelekeshwa mara utasikia ''kesho muwahi mapema au kesho mtachelewa kutokan '' yaani wanaongea kirahisi ili mradi wasichukulie ishu yenye uzito katika kuiba muda wa zaida wa mtumishi .

Wengine wana msema ''haki yako ni mshahara tu , posho zinaweza kufutwa muda wowote ule ". Nina uhakika hata ukitaka kutajiwa kuna taasisi hazilipi overtime tena wanatisha watu mpaka wameacha kudai pesa , taasisi nyingine wanakula pesa hizo kwa siri analipwa meneja , mkuu wa ktengo au principal tu ila subordinates hawalambi hata mia.​
 
Umeandika ukweli kabisa
 
Tatizo watumishi wa umma nao asilimia kubwa wakishapata ajira hawajisumbui kufuatilia na kujua sheria ya kazi inasemaje. Maafisa utumishi nao hawaijui vizuri sheria za kazi na kanuni zake. Hivyo kiongozi wa taasisi husika na maafisa utumishi wake utumia mwanya huo wa watumishi kutojua sheria kuwanyanyasa wapendavyo.
 
Back
Top Bottom