Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hili suala lipo serious ni wengi hawawezi kusema ila kweli lipo sana tu .Labda kama uko kwenye spesho misson, ambako huwa pia kuna compasation kwa mamna tofauti.
Unao mkataba wa ajira yako na umeusoma?
Umasikini wa Serikali zet, Awa tunaonasema hawajui sheria na haki zao ukiwapeleka Marekani watalipwa kisheria bila hata kujua hizo sheria na haki zao.Umasikini
Hats kuisoma she ria ye ye we hawataki.Habari,
Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo inatakiwa kulipwa overtime. Lakini ukiangalia kwenye kampuni nyingi na mashirika ya umma Sheria hizi hazizingatiwi. Boss anaweza kupanga mda wake anavyojisikia na wafanyakazi wakafuata bila shurti bila kujali haki zao zinapotea. Unakuta siku kama ya leo ni Maulid ila boss akaamua muende kazini bila kuwa na allowance yoyote na usipoenda kazi hunaπππ. Kweli kwa mfanyakazi kutoboa kibongobongo ni kazi sanaaa
Muwe na siku njema!
Kisheria muda wa kufanya kazi kwa siku masaa manane. Zaidi ya hapo ulipwe extra hours. Kwa wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa muda wa kuanza kazi ni saa 1:30 asubuhi hadi 9:30 mchana. Kwa kuweka utaratibu huo walidhamiria mfanyakazi afanye kazi muda wote wa masaa manane bila kula au mfanyakazi mwenyewe ajiongeze?1: Una mkataba wowote wa hiyo kazi?
Tuishie HapaShida ni kwamba ukijifanya mjuaji hutadumu ktk hyo Kaz, na ukizingatia wanao hitaji kazi ni wengi, hivo mwajir ana maamuzi ya kufanya vile anavyotaka yeye
ππππ
Kisheria muda wa kufanya kazi kwa siku masaa manane. Zaidi ya hapo ulipwe extra hours. Kwa wafanyakazi wa serikali kuu na serikali za mitaa muda wa kuanza kazi ni saa 1:30 asubuhi hadi 9:30 mchana. Kwa kuweka utaratibu huo walidhamiria mfanyakazi afanye kazi muda wote wa masaa manane bila kula au mfanyakazi mwenyewe ajiongeze?
Umeandika ukweli kabisaTanzania hawafuati sheria walizoandika wenyewe . Ipi hivi; Tanzania kuna boss ambaye ni miongoni mwa watumishi anaweza kuwa principal , mkubwa wa kitengo , au meneja sasa hao wengi hawafuati sheria kabisa kwa kutumia vitisho ni mwendo wa kupelekeshwa mara utasikia ''kesho muwahi mapema au kesho mtachelewa kutokan '' yaani wanaongea kirahisi ili mradi wasichukulie ishu yenye uzito katika kuiba muda wa zaida wa mtumishi .
Wengine wana msema ''haki yako ni mshahara tu , posho zinaweza kufutwa muda wowote ule ". Nina uhakika hata ukitaka kutajiwa kuna taasisi hazilipi overtime tena wanatisha watu mpaka wameacha kudai pesa , taasisi nyingine wanakula pesa hizo kwa siri analipwa meneja , mkuu wa ktengo au principal tu ila subordinates hawalambi hata mia.