Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

Mjadala huu unahitaji elimu ya kina ya fiqhi, si hisia pekee. Kama kweli hukumu hiyo ipo katika baadhi ya mitazamo ya wanazuoni, ni muhimu kueleza dalili na mipaka yake vizuri. Kwa sababu suala la mtoto wa zinaa ni nyeti sana, tusichukulie kauli moja kama hukumu ya jumla bila kusikia ufafanuzi wa wanazuoni wengine.
 
Dini hairuhusu kumuoa mtoto wa kufika, yani mtoto ulie mchukua njee au kumuokota uka mlea wewe dini inakataza Leo hii huyu alie Toka kwenye mauno Yako? Hapo sifahamu tuwasikilize masheikh hao wana ilimu zaid
 
Iyo kauli ipo lakini haina mashiko na wala si sahihi kwa kutolea dalili kisa cha Jureyji kwa wanaofahamu... Yule mtoto mchanga alipoulizwa alisema baba yangu ni mchunga mbuzi fulani na hali ya kuwa mtoto huyo alipatikana kwa zinaa. Maulamaa wametolea dalili hapo kuwa mtoto wa zinaa ananasibishwa na baba yake na huyo ni baba yake halali.
 
Kwani kinachotambulisha kuwa huyu ni mwanao au si mwanau ni sheria ya dini au DNA?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hoja iliyopo mezani,me najua wewe una hadidu za rejea au?
 
Sasa hizi hasira za nini? Kwani mie ndio nilileta uzi?

Afu Sasa, hayo masomo yote sio O level wala A level nilipata A-B.

Poleee wee.
Tatizo lilianzia hapo kwenye B, mi nimesema lazima uwe na A. Kumbe haitoshi kwenye mjadala huu. Pole wewe, si Mimi.

Halafu sina hasira yoyote dada'angu, acha uoga. Hasira kwa lipo kwanza?!!!
 
Lakini kama kisheria, mtoto wa nje sio wako basi ni kweli unaweza ukamuoa.
Kwa sababu ndoa ni suala la kisheria
Na sio vinginevyo
sasa huyo mtoto kisheria sio wako sasa tatizo linakuja wapi ukimuoa?
Acheni upotoshaji.
Mnaongelea sheria ipi hiyo??

Sheria ndo inaharamisha "incest", ambayo ni mambo kama hilo.
 
Imani zingine hizi ni mtihani sasa. Unapiga ukuni mwanao kabisa,hivi watu wa hivi ukimuachia mtoto wako kama jirani au ndugu ukasema mtoto akasalimie mjomba au bamkubwa si utakuta limetomba mtoto?πŸ€”
 
Kama kisheria huyo sio mtoto wako. Iweje kisheria usiruhusiwe kumuoa?
Hakuna hiyo sheria unayosema wewe.
Em pitia maelezo ya Kisheria hapa chini ili siku ukipigwa mvua 30 usiseme hukujua..
πŸ‘‡

SHERIA YA NDOA NCHINI TANZANIA:

Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (The Law of Marriage Act, Cap. 29), kifungu cha 14 kinakataza waziwazi ndoa kati ya watu wenye uhusiano wa damu au koo za karibu.

MTOTO WA KUZAA:
Sheria inakataza mzazi kuoa au kuolewa na mtoto wake wa kumzaa au wa kumfunga.

NDUGU WA DAMU:
Hairuhusiwi kuoa au kuolewa na ndugu wa karibu kama vile kaka, dada, mzazi, babu, bibi, mjomba, shangazi, mpwa, au binamu wa karibu kulingana na daraja la undugu uliowekwa kisheria.

UHUSIANO WA KUASILI (ADOPTION):
Sheria pia inakataza ndoa kati ya mtu na mtoto aliyemuasili au mtu aliyemwachia malezi hayo ya kisheria.

HALI YA KUZALIWA:
Sheria haijalishi mtoto amezaliwa ndani au nje ya ndoa; marufuku ya undugu wa damu inabaki pale pale.
 
Tatizo lilianzia hapo kwenye B, mi nimesema lazima uwe na A. Kumbe haitoshi kwenye mjadala huu. Pole wewe, si Mimi.

Halafu sina hasira yoyote dada'angu, acha uoga. Hasira kwa lipo kwanza?!!!
Poleee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…