Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

Alipataje taarifa za ndani ndani ndani kabisa
 
Alipataje taarifa za ndani ndani ndani kabisa
Ukisoma vizuri kuhusu hii kesi yake ya Juali mwaka huu jinsi ilivyo isha utaelewa taarifa za jikoni alikuwa anapatiwa na kina nani.

ila mara kadhaa mitandaoni imekuwa ikisemekana ni ZZK,NaN,JaM ,AbK na wengineo kutoka team iliyokuwa haimtakii mema mwendazake
 
Basi , mpaka lissu kuwa ndani mpaka Sasa nimeelewa una shinikizo la wana mtandao.. na wana mtandao wanaona pia nchimbi atakuwa threat kwao ,wakamtoa kwenye equation mapema
 
Basi , mpaka lissu kuwa ndani mpaka Sasa nimeelewa una shinikizo la wana mtandao.. na wana mtandao wanaona pia nchimbi atakuwa threat kwao ,wakamtoa kwenye equation mapema
Ukifuatilia vizuri, common sense inakuambia kuna mtandao ndani ya nchi ambao unapambania maslahi yake kwa amani na kwa vita...

Huo mtandao ni kansa kwa viongozi wenye nia njema sasa na itakuwa hivyo kwa wale watakao kuwa na nia njema siku zijazo...

Hii kansa itaiacha nchi imebaki mifupa, maana kwa namna moja au nyingine mtandao huu una connection kubwa kimataifa...

Hivyo ukiwagusa utajikuta unapambana na vita kutoka ndani na nje ya nchi, kuwashinda si rahisi...

Tusubiri miujiza.
 
Basi , mpaka lissu kuwa ndani mpaka Sasa nimeelewa una shinikizo la wana mtandao.. na wana mtandao wanaona pia nchimbi atakuwa threat kwao ,wakamtoa kwenye equation mapema
Msigwa ameongea hoja fikirishi jana na huo ndio ukweli...

Hata CCM hawako salama isipokuwa member wachache ambao wako kwenye huo mtandao.
 
Ni yule wa X(Twitter)huyu?
Hii haikuwa username yake, alafu mbona kigogo alikuwa anaingia hadi space kule Twitter (X) na alikuwa anachangia mada?
Tena kuna waliokuwa wakimfahamu kwa jina kabisa na kuwa alishawahi kuhusika na wizi akakimbilia UK.

Na wengine walitaja hadi jina akiitwa Abdallah Mlawa nadhani.
 
Ni kweli ila ukifuatilia vizuri utagundua Mlawa alikua sehemu ya mwisho ya Alimentary canal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…