Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

JF siku hizi Kuna habari za Umbea tu mambo ya maana hayaletwi,Kuna Case Mahakama Kuu ya UK mlalamikaji bwana January Makamba dhidi ya Mlawa(Kigogo).hukumu imetoka mwaka Huu,.huyo ni mtu mmoja ukitaka kujua alikua anafanyaje kazi nitakupitisha huko
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba huenda Mlawa ndiye aliyesajili akaunti ile...

Ila sikubali kwamba akaunti ile iliendeshwa na mtu mmoja...

Kama ulikua mfuatiliaji wa taarifa zinazotoka kwenye akaunti ile kipindi hicho utanielewa brother...

Halafu kwa siasa zetu zilivyo, hazina tofauti na vikundi vya mafia au matapeli...

Mtu anaweza kuikataa hata mali yake bro sembuse kujifanya unamshitaki mshirika?
 
Hakika brother...

Huwa najiuliza maswali...

Kama ndani ya nchi kunaweza kutengenezwa mtandao wa kumhujumu raisi na ukafanikiwa...

Hao usalama wa taifa kazi yao hasa huwa ni nini?
Swali msingi kabisa ,rais anaweza kuwa Bora sana ,lakini kama kukundi Cha watu wakiamua kwa maslahi Yao hatoboi. why ahujumiwe kwa asilimia mia Moja (watu wa usalama wanakuwa wapi.kitengo maluum Cha ulinzi wa rais ?)

Kama ni hivyo hii idara ya usalama nayo inapitia changamoto.Mungu aitangulie maana hii idara ndo nchi yenyewe
 
Nakubaliana na wewe
 
Uko sahihi...

Hii nchi, siasa ni maslahi...

Na kwenye hili, sisi tusioujua ukweli ndio huumia.
 
Nashukuru kwa kujua hili Samia alikua anamfanyia hujuma Magufuli live live
Kwani hujuma za Kina Kikwete na Samia na hata majority ya CCM kwa Magufuli zilikuwa za ''kumulika''? Ni vile tu Magufuli alikuwa amezungukwa na wapambe badala ya watu wenye busara na yeye akawa upeo wake ni mdogo, lakini kuna wengi walishaona jinsi walivyokuwa anawindwa. Halafu alivyokuwa na upeo mdogo wapambe wakafanikiwa kumdanganya Lissu na CHADEMA ndiyo maadui zake kumbe maadui halisi ni wao.
 

Huyu Kigogo alisakwa Sana, hata TI ES ES wakishindwa kumbaini. Maana Kila TI ES ES alipewa jukumu la kumtafuta na kumsaka huyu jamaa, lakini ilishindikana kumpata
 
Uko sahihi...

Hii nchi, siasa ni maslahi...

Na kwenye hili, sisi tusioujua ukweli ndio huumia.
Hakuna mtu awe Mwanasiasa au Mwanaharakati, useme hana maslahi hapana. Kuna Waziri mmoja huwa anasema, sisi tunajuana, ni ukweli kabisa wanajuana sana. Akitokea mtu akaanza kujifanya msafi, wanaanza kumshangaa, huyu kaanza kuwa msafi lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…