Ninacho ulemavu m-baya ni wa akili tuu but ulemavu wa viungo sio issue sana kwakuw kwakuw kuna mazngir wezeshiDah,Mimi wangu ni bubu,ni mtihani![emoji26]
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]Jamaa yangu aliwahi ku-date na demu mmoja ana mguu mmoja mfupi na hakujua kwa kipindi kirefu tu. Alikuwa anajua kuuficha kweli kweli, ila baadae akamgundua.
Cc africa tunaakili fupiKwa useful was story hii inaonyesha dhahiri muhusika ni wewe. But naona ni sahihi tunashauriwa kufanya ata vipimo ili kupunguza chances za magonjwa ya kurithi pia kama circle cell, magonjwa ya akili n.k. Kama unaona dhahiri kuna hatari hakuna haja ya kujiingiza. Nashangaa mabinti wanaoolewa na Manara wakimuona kabisa ni Albino. Wanaxhojisifia kwamba Manara anazaa watoto weusi, hawajui kwamba Manara anagenes za Ualbino kwa hiyo ata kama yeye hatozaa watoto Albino kizazi kitarudu kwa wajukuu wake na kusabahisha majutto.
Dah nko na rafk yangu ambae hili Tatzo limemkuta mtoto wake Asee ila pamoja na yote kuna uzembe mkubwa upande wa watotoa huduma au mzaz binafsTushatembelea na bado tunaendelea kutembelea boss maana kuna clinic ya kila mwezi pale MUHIMBILI na CCBRT (dawa)
Dogo shida alizaliwa akapata homa ya manjano ikapelekea akalazwa miezi kadhaa pale temeke
Baada ya kutoka akawa yupo sawa ila sasa shida ikaanza wakati wa miezi ya kukaa kitako ndio ikajulikana kama dogo anashida
Na hospital wamesema kwamba ana utindio wa ubongo na kwamba tatizo haliponi kwa uwezo wao kama madokta hawana dawa labda tu apone kwa uwezo wa Mungu
Hakika chiefLife experience is full of alot chief. Maisha ni mapambano brother
Kupima na mwenzake ataepusha watoto siyo wajukuuNiliwahi kusikia Manara huwa anachukua tahadhari kupima wenza wake kama nao wana genes za albinism kabla ya kufanya maamuzi ya kuwa na watoto.
Ikitokea wote wawili mna hizo genes kuna uwezekano mtoto akapata albinism ama akabena genes za albinism,
Kabisa kama mtu hana elimu lazima aseme uchawi umehusika kumbe ni science tu.Afrika wangesema kalogwa...[emoji1]
Ameen shukran sana na nshapoa piaPole sana mkuu Mungu akutie nguvu katika malezi
Daah tupoe sana kiongozi kazi ya Mungu aseeDah,Mimi wangu ni bubu,ni mtihani!😥
Aseeeeh polee sana, Uwe na moyo wa hekima na faraja.Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Nimemshangaa huyo jamaa, je yeye akipata ulemavu hapo alipo afu wanawake wamkatae kimahusiano na kuzaa nae atajisikiaje?Bado ana utoto huyo
Anajua anapoenda kuoa sasa
Au yeye anaijua kesho yake
Upo sahihi mkuu hapa ishu kubwa nadhani ni madokta maana wamama hua hawajui saana kuhusiana na hayaDah nko na rafk yangu ambae hili Tatzo limemkuta mtoto wake Asee ila pamoja na yote kuna uzembe mkubwa upande wa watotoa huduma au mzaz binafs
Homa ya manjano inasabishwa na mtoto kukosa yale maziwa ya mama ya awali pind amezaliwa (na kama mama ameshindw kunyonyesha yapo special mimi naona sasa serikali iongeze umakin kwa watendaji wake )
Pole mkuu , Jamaa mtoto wake naona vle anajarbu ata awe saw kwa juhud zote lakn ndivyo , mengine mungu asaidie
Pole sana mkuuUnaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Yeye akipata ulemavu hapo ukubwani alipo atalelewa na nani?Misemo ya "Hujafa hujaumbika" ni kuhalalisha matatizo yasiyo na ulazima.
Kijana kafanya vyema sana kuepuka balaa la mbeleni.
Ninyi mnao komenti ushubwada hapa wa hujafa hujaumbika, Huyo kijana akipata mtoto mlemavu mtamsaidia kulea?
Umesema kweli elimu inahitajika kuna jiran yetu mmoja aliwahi ambiwa kama mimba imetungwa nje ya fuko inabidi itoleweKabisa kama mtu hana elimu lazima aseme uchawi umehusika kumbe ni science tu.
Haya mambo yangefikaga huku kwetu ingekuwa nafuu sana japo ki Africa Africa umwambie mtu mtoto anaonekana ana shida hii na hii na option iliyopo ni abortion hawezi kukuelewa.
Sembuse tu mtu anaambiwa mimba imetunga nje ya kizazi inatakiwa itolewe kwa usalama wa mama na bado anagoma.
Wanted to say huyu jamaa alitafiti akajua hayo ni magonjwa ya urithi..genetic etc? Au alikuruouka tu.Huyo jamaa ni wewe sasa...Yapo maradhi ya kuambikizwa ila ulemavu sio kwa sana ...
Binadamu anayeishi basi mda wowote anaweza kupata ulemavu...Inaweza kuwa yupo sawa kama hao watu wamezaliwa hivyo ila kwa sasa tatizo kama maskini ni hatar vijana wanalipata bila ya kujua.
Shukran mkuuuPole sana mkuu