Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Uzi uishie hapa.... Mkuu umemaliza kila kitu.. Big up πŸ‘Š
 
Shida sio pesa shida ni hao wenye uwezo wao mzuri hizo hela kazipata kwa kumvulia chupi boss au connector wake, na ataendeleza hayo hata mko ndoani kwa sababu hawa viumbe wabinafsi wanathamini pesa kuliko utu
 
Kiasili kabisa wabongo mtu akiwa anapata raha au chimbo la pesa wala hawezi kuwashtua wana au kuwashauri .

Ila ndoa mnaipigia kelele eti mnapata raha , sema tu mnataka kila mtu aoe ili wimbi la kuchapiwa wake lipungue[emoji16][emoji16][emoji16]
Unamaanisha mleta thread pamoja nasi tunaotaka muoe tunataka kuwaingiza shimoni ili tuteseke pamoja?🀣

Hakuna ndoa isiyo na changamoto,inaweza ikawa si ya kuchapiwa(kama mnavyoita wenyewe) ila tofauti na hilo suala.

Kwa changamoto za kukufanya ufungue thread na kupinga "kataa ndoa" maamuzi ni yako rafiki kwa mwenza uliyenaye n.k

Oa kijanaπŸ˜…
 
Mimacho kama hiiπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
sio wewe unayefumua mkeo atatafuta wahuni wakumfumua ila akija kwako kama malaika, siku ukishtuka ndo utajua hujui
Kuoa kuna sheria za enz na enz,ushauri kijana mdogo
Nenda kwa mama yako mwambie akutafutie mke,
Kama hujaja na vigelegele vya kuoa bikra,
Sasa Wewe unataka kuoa hadija wa buza Kwa mpalange!
Afu awe bikra .
Kijana Mwanaume shababi lazima tuoe,na ukiwez usioe mmoja piga tatu,ilΓ  uweze kuwatunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…