Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Swadakta
 
Safi sana,wanaoa Malaya halafu wanasema ni Mke
 
Sio Kila anayetombreeewa analo la kufanya mkuu,wengine ni wale tunaomwachia Mungu na Kuna wale wa god forgive I don't,!!!hao hadi wapasue spika ndio watakuachia
Kuna jamaa alimfuma jamaa tena mshkaji wake anamla mke wake ndani kwake wala hakuleta fujo wala ugomvi alichofanya ni kuchukua vitu vyake na kusepa.
 
virse versa tufuate ushaul wa mdau mmoja pale juu wanawake wanafiki,
 
Nimemkojolesha mke wa mtu miezi sita Hadi nikakimbia mwenye penzi lake [emoji23][emoji23]

Yule mwanmke yumo humu

Ila advantage nilitake pale ambapo kulikuwa na migogoro kwenye ile ndoa kila siku maugomvi mke kachoka anataka mtu wa kumbembeleza kijan Niko free na ujobless pia unanisumbua nikoana nisikose vyote Kaz na mbunye haiwezekani alooo Kuna siku nililoweka masaa mawili jamaa ake Yuko ndani anakoromaa na usingizi mzito ikumbukwe tuko jengo moja la umma lakupangisha
 
virse versa tufuate ushaul wa mdau mmoja pale juu wanawake wanafiki,
Mimi kitu nilichokuja kugundua kuhusu wanawake;

Mwanamke hana tofauti yoyote na mwanaume pale linapokuja suala la matamanio ya kingono. Kila mwanamke ana kitu chake fulani ambacho akitokea mwanaume mwenye nacho, ujue huyo ke lazima atatoa gemu tu, labda huyo me asitake.

Kama jinsi ambavyo mwanaume unaweza kuwa na mke mrembo, mzuri, mpole nk na bado ukaenda kuchapa nje, vivyo hivyo na mwanamke hata awe na mume mzuri, mwenye hela, anaesimamia kucha nk bado anaweza akatamani na akachapwa nje!

We ukiona mwanamke wako katulia kwenye ndoa mshukuru Mungu na ujue pengine hajakutana na mwanaume mwenye kile "kitu fulani" ambacho kinammaliza nguvu huyo ke. Siku akikutana nae na jamaa akakomaa kidogo tu ujue mzigo unaliwa mchana kweupee..
 
Kama mke anagawa atagawa tuu. Wala usijifariji eti kuna siku utamkamata. Wewe cha kufanya mwache au vumilia .
Na kwa uzoefu wangu, kama mke anagawa nje ujue anagawa kwa wengi. We unaweza ukamkamata huyo mmoja ukajiona umeshinda kumbe pembeni kuna wana wengine wanaendelea kujilia wanakuchora tu..
 

Unachosema ni kweli. Lakini kwa mwanamke ni lazima ashinde matamanio yake. Kitendo cha mwanamke kutoa nyama nje, ni automatically ameshaharibu ndoa

Hata security ya familia inakuwa compromised.

Wapo wanawake ambao wana admire other men yes , but hawajui maana
Ya kucheat mpaka anaingia kaburini.

Hii inaitwa fundamental character ethics , inategemea pia amekuzwaje. Mambo ya kucheat kwa mwanamke yanaanzia mbali na yanaenda hadi kwenye roots za familia

Kwangu mi mwanamke akicheat hata Kama
We have 10 kids , no way there is no excuse for that. Ni straightforward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…