Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

sisiemu yote kumejaa mataahira. tz itaendelea kua kichaa miaka nenda miaka rudi
 
Kanda nyingine vp? hazistahili kutoa Rais pia? acheni ubaguzi washenzi nyie!
 
David or inno
 
Hakuna mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi hii
Hayati JPM alionyesha udhaifu wetu kanda ya ziwa. tuna ile superiority complex kujiona tuna haki sana ya kufanya maamuzi ya aina fulani kumbe tunaumiza baadhi ya wapiga kura.

Humility ni sifuri kabisa. Mfano hai ni mbunge Luhaga Mpina anavyohangaishana na serikali nzima ya Samia mara kwa mara. Hana uwezo wa kujishusha na hivyo haoni makosa yaliyopo katika matendo yake yote.

Tunaweza sana uwaziri mkuu mfano Biteko lakini urais una madaraka makubwa sana, ni rahisi kuumiza hao hao unaodhani unawafanyia wema katika maamuzi yako.
 
Bashe asingekuwa waziri wa kilimo, huko SA wale wahindi wasingekuwa sehemu ya wapigania uhuru waliomchangia Mandela pesa nyingi katika harakati za ANC.
 
Ukweli nyie watu wa kanda ya ziwa ni watawala (administrators) wazuri si viongozi (leadership) wazuri. Mtawala husimamia Sheria. Sisi wa mwambao Unafiki unatufanya tuwe viongozi wanaopendwa. Ila maendeleo hayahitaji kiongozi bali mtawala
 
Ukweli nyie watu wa kanda ya ziwa ni watawala (administrators) wazuri si viongozi (leadership) wazuri. Mtawala husimamia Sheria. Sisi wa mwambao Unafiki unatufanya tuwe viongozi wanaopendwa. Ila maendeleo hayahitaji kiongozi bali mtawala
Uko sahihi kabisa
 
Kwanza kuna uhakika gani Samia ataendelea 2025?
Yeye mwenyewe anafahamu hataendelea beyond 2025..acheni kutaka kuleta laana za bure hapa! Kiongozi anapatikana kutokana na mahitaji ya wakati..mijadala mingine ni kujadili upumbavu tu! Kuna mtu dunia hii ana uhakika kufika 2025?? Acha hiyo 2030..wakati mwingine ni kama mtu kalewa pombe anakuja jf kuanzisha mada km hii..
 
Biteko awe waziri mkuu..?unaongea kutoka kichwani..au tumbo ndio linaongea..
 
Hii nchi hamfikirii tena kama Kuna uchaguzi ulio huru na haki

Badala yake mnajitengenezea viongozi toka chama Tawala pekee, utadhani hii nchi ni ya mfumo wa chama kimoja😎
Amka toka usingizini.
 
NAONA KAPEWA OFISI MBILI AZISIMAMIE........PERPENDICULARLY
 
Swala la Samia kuendelea 2025 halina mjadala
 
Nyerere Mwalimu

Mwinyi Mwalimu

Kikwete Mwalimu wa Siasa

Shujaa Magufuli Mwalimu wa kemia

2030 Mwalimu tena jamani?🐼
Kikwete ni mchumi. Mchumi aliyekulia kwenye siasa toka tumboni mwa mama yake.
 
Swala la Samia kuendelea 2025 halina mjadala
Hujui usemalo, hizo ni wishes zako..lkn hata yeye Samia anajua alipo hapo ni kwa bahati ya Mwenyezi Mungu kuwa Makamu na Rais ndani ya miaka 10 ana nini cha kuongeza? Katika miaka 10 kawaida tunabadilisha Rais na Makamu..miaka 10 amebahatika kuwa Makamu na Rais, sasa aendelee kwenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…