Wewe hata uwe maskini wa kuvaa malaplap nakupenda ile mbaya na nilikupa na ninakupa tena ahadi yangu mmwwaa[emoji1][emoji23]Ya kunioa?[emoji17] Au ipi ndugu yangu make hii thread imenivuruga nimekata tamaa ya kuolewa
Umeelewa lakini alichosema Mtume, ndugu yangu?Hata Mtume Mungu ameeleza hivi kwenye Uislam. Mungu habahatishi
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((تُنْكَحُ الْمَرْأَةُ لأَرْبَعٍ: لِمَالِهَا وَلِحَسَبِهَا وَجَمَالِهَا وَلِدِينِهَا. فَاظْفَرْ بِذَاتِ الدِّينِ تَرِبَتْ يَدَاكَ)) متفق عليهUkiridhika naye oa, yaani ujihakikishie kwenye uzuri, dini, familia yake, na ukwasi wake
Amiinعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((تُنْكَحُ الْمَرْأَةُ لأَرْبَعٍ: لِمَالِهَا وَلِحَسَبِهَا وَجَمَالِهَا وَلِدِينِهَا. فَاظْفَرْ بِذَاتِ الدِّينِ تَرِبَتْ يَدَاكَ)) متفق عليه
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: ((Mwanamke huolewa kwa sababu nne; Kwa mali yake, nasaba yake [ukoo], uzuri wake na Dini yake. Tafuta mwenye Dini ubakie salama)).[Al-Bukhaariy na Muslim] (yaani usiharibikiwe katika maisha yako).
Chagua Mwenye Dini kisha mengine utayatazama. Ukipata mwenye Dini kisha ana uzuri unaoupenda sawa na ni muhimu, ana dini kisha ana nasaba nzuri sawa, ana dini kisha ni mkwasi sawa. Ana vyote vinne ni kheri juu ya kheri. Lakini Dini ndio kwanza kisha mengine. Chagua/tafuta mwenye Dini. Tuwe makini kwa hili ndugu yangu. Allah atusaidie.
Kuna aina ya changamoto hazikimbiwi, na kuna zingine zinakimbilika.. Ila hili la utelezi halikimbirikiChangamoto hazikimbiwi 😃
Mpaka unajiuliza amepata wapi nguvu za kukuita shemu na bado haujamua dada yake 😅Mimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,
😅😅😅Bwana weeee umaskini mmbaya sana, unavua watu nguoMpaka unajiuliza amepata wapi nguvu za kukuita shemu na bado haujamua dada yake 😅
Kweli aisee kuna mmoja nilimtomba dada yake mara mbili tu si akajua aisee, mara akaanza kuniita shemeji tena hata mbele za wana. Sijakaa vizuri akaanza kunigongea hadi pesa ya msosi kwa mama lishe 😅😅😅😅😅😅Bwana weeee umaskini mmbaya sana, unavua watu nguo
Unajua kuwa umalaya ni pepo?ukioa au kuzaa na mtoto wa kishua chance ya wanao wa kike kuwa Malaya ni ndogo mno.
Ni kweli mkuu lakini wewe umegusa upande mmoja na upande wa pili huja gusa, ukio au kuolewa kwenye familia ya masikini ni ngumu sana kufanikiwa maishani ila ukiolewa au kuoa kutoka familia yenye uchumi wakati kuna vitu hauta Kutana navyo mfano, kuwatumia wazazi pesa za kujikimu kila mwezi, kusomesha, kuwajengea wazazi, kwakifupi kuombwa ombwa pesa na ndugu na utakuwa miaka yote ni kutumia pesa zako kuwatoa ndugu kwenye umasikini na kitu hicho ni kigumuFaida ya kwanza unapunguza wategemezi watu, watakao kuwa wanakulilia shida zao mara kwa mara
Mashemeji wajinga sana hao, au mkuu ulizoeana nao kupita kiasi?Mimi nilishtuka mapema ...yaani binti hujamtolea hata mahari ndugu zake washaanza kukuletea shida..eti ohooo mara shem niongezee mtaji nataka nifungue genge la matunda,
Sio kweli ukioa mwanamke kwao ni kipato cha kati huwezi kusikia ana fanya maendeleo kwao kwasababu kwao wazazi wake walishafanya maendeleo na uwezi kumsikia akisema mshahara wake ana somesha ndugu zake wala kuwa jengea nyumba wazazi wake wala kumsikia akisema mtoto wa dada wala wakaka anakuja kukaa naye ili kumsomesha, na wazazi wake kuja kuja nyumbani kwake ni ngumu sana.Sio kweli. Tajiri, mtu kati na maskini wote wanahitaji pesa. Tena wenye pesa wanahitaji pesa kubwa zaidi. Michango mikubwa mikubwa.
Maskini wanahitaji buku 10, buku 30, buku 50. Ukifikisha laki, unaabudiwa.
Familia zenye pesa au kipato cha kati sasa! Dah!
Watu wenye pesa sio wa mchezo mchezo!
Inaonekana kwa akili yako umejiandaa kuwa tegemezi au kuwa maskini.