financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaa ningekua mzuri nisingekaa benchi miongo 3 now, usidanganywe na profile mkuu😀😪 plus sikai home kwa wazazi kama ulivyoshauri watu wa kuwaoa n niwanaokaa kwao, umeona sasa?Kwa jinsi ulivyo mzuri hivyo unakosaje mtu wa kukuoa. Aisee🙄😕😕
Nb. Mm sio mdogo wako
Siamini aisee.... Labda uwe ulibadirika.Hahaa ningekua mzuri nisingekaa benchi miongo 3 now, usidanganywe na profile mkuu😀😪 plus sikai home kwa wazazi kama ulivyoshauri watu wa kuwaoa n niwanaokaa kwao, umeona sasa?
😀😀 usidanganywe na filters mkuu, unakaribia 3rd floor wakati natoka naenda 4rth floor🤪 shangazi mkuuSiamini aisee.... Labda uwe ulibadirika.
If that so natafuta jiko sasa nishakaribia kufika 3rd floor
Toka huko maghetoni wewe...utafika 38 hivihivi..Sisi wa maghettoni tunasema hatuhami
Aluta continua,kupanga kwa kwenda mbele😂
Msitutoe kwenye reliToka huko maghetoni wewe...utafika 38 hivihivi..
Sawa kama mmeshauriana..mjioe basi au muolewe na wajinga..Msitutoe kwenye reli
Tumekubaliana wadada wote tupambane maghettoni.
Tunajitegemea maghettoni.Sawa kama mmeshauriana..mjioe basi au muolewe na wajinga..
Tunajitegemea maghettoni.Sawa kama mmeshauriana..mjioe basi au muolewe na wajinga..
Ndio wapi huko?Nawe unakaa geroo mkuu??
Hapana, niwe mwenyewe kwani mie panga!!Getho... Aka nyumba/chumba cha kupanga ukiwa mwenyewe
Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda😂Hapo sawa kama haupo mwenyewe kama nguzo ya umeme.
Btw nimepata wivu
😂😂😂😂Whoever have you... the luckiest dude alive.
Nitamroga😕
Endelea kuwaza ujinga hivyohivyoNasikiaga hawa wa uchocholoni ndo wanautulivo likifika suala la ndoa maana wanakuwa washapitia magumu na dunia wanaijua vyema