financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaa ningekua mzuri nisingekaa benchi miongo 3 now, usidanganywe na profile mkuu😀😪 plus sikai home kwa wazazi kama ulivyoshauri watu wa kuwaoa n niwanaokaa kwao, umeona sasa?Kwa jinsi ulivyo mzuri hivyo unakosaje mtu wa kukuoa. Aisee🙄😕😕
Nb. Mm sio mdogo wako