Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Kwa jinsi ulivyo mzuri hivyo unakosaje mtu wa kukuoa. Aisee🙄😕😕

Nb. Mm sio mdogo wako
Hahaa ningekua mzuri nisingekaa benchi miongo 3 now, usidanganywe na profile mkuu😀😪 plus sikai home kwa wazazi kama ulivyoshauri watu wa kuwaoa n niwanaokaa kwao, umeona sasa?
 
Siamini aisee.... Labda uwe ulibadirika.
If that so natafuta jiko sasa nishakaribia kufika 3rd floor
 
😀😀 usidanganywe na filters mkuu, unakaribia 3rd floor wakati natoka naenda 4rth floor🤪 shangazi mkuu
 
Sawa kama mmeshauriana..mjioe basi au muolewe na wajinga..
Tunajitegemea maghettoni.

Kwani wenye akili wenyewe wapo basi😂😂😂😂😂
Natania.

Wanaume hamjui mnachokitaka
Watu wakikaa nyumbani mnasema tegemezi,mayai mayai maisha hawayawezi

Watu wakipanga,wapambanaji hamtaki tena.
 
Nasikiaga hawa wa uchocholoni ndo wanautulivo likifika suala la ndoa maana wanakuwa washapitia magumu na dunia wanaijua vyema
 
Endelea kuwaza ujinga hivyohivyo
Mwanamke akishakua na 14yrs tayari anakua anayajua maisha kama mwanaume mwenye 25yrs.
Wameumbwa hivyo
 
Back
Top Bottom