Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Umeeleweka sana, Kwamba umtoe kwao kwa wazazi wote wawili akiwa hana mtoto wala historia ya kuwahi kuishi peke yakeπŸ“Œ
 
Nb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Tunajua umezaliwa after 97. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumekucha!
Kuna single mother ana 31 kaolewa december.
-hana shuguli ya maana mjini na kapanga almost 5years na mtoto ana miaka6
- amelelewa na mama tu wazazi wake waliachana akiwa shule ya msingi
-mwanaume akabadili dini kumfata mwanamke

hilo unalizungumziaje? mana mnatuchanganya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mume nikimkosa duniani ntampata mbinguni sio huyo sura ng'ombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utampata wapi na ww sio muislam? Pepo ya wagalatia is very boring. Hakuna wanaume wala wanawake full kuimba tu. Mume tafuta huku.. Huyo hapo ushampata
 
Ukitaja kesi moja moja ofcourse hakuna system ambayo itakosa victim. Ila ukijimuisha kuna system ambao itapunguza victims kwa kiasi kikubwa kuliko nyingine. Mwanamke anaeondoka nyumbani na kwenda kupanga ni rahisi sana kualibikiwa kitabia na kimaadili ukilinganisha na anaekaa kwa wazazi mpaka pale atakapoolewa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kijana mdogooo
Unawashauri mabro? Hawa hawa tulionao kitaa au huku JF ni wengine?
Dogo this is too personal...
Yesu kaanza kufundisha mababu ambao ni wanazuoni wa kiebrania akiwa na miaka 12 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…