Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi huu,,tunaenda kusaka wataalam kutoka sauzi,, wa nigeria mambo yanakua magumu,,hadi kieleweke 2025 lazima tuzame mjengoni dodoma
usipoteze pesa zako kirahisi namna hiyo gentleman
 
uko sahihi
 
Pesa itarudi nikiingia mjengoni,,,,hio ni biashara na huo ni mtaji, faida baada ya kuzama mjengoni, yani kazi yako kupigapiga meza tu pale na kusinzia badae akaunt inasoma
walio jaribu hiyo habari wakakwama naskia wengi wao wanateseka na mental health issue saivi
 
Mliopita Kwa mbeleko ya chuma ndio mnasema haya!!

Wabunge mlioingia 2020 ni wale ambao hamjaiva kisiasa yaani ndio mzee!2020 hakukua na uchaguzi bali draft la watu wachache!ndio maana Kuna walioongoza kwa kura lakini wakakatwa na kamati ya roho mbaya!

Kuna wale walitangazwa washindi japo walishika nafasi ya tatu au ya nne!!

Mungu kweli yupo na ana nguvu sana lakini kuishi kwenye frequency ya mawimbi ya kiungu ndio kazi"Tunajua Hawasikii wenye dhambi"

Halo ulipo tayari man dhambi ya kupitisha mikataba ya kinyonyaji na Sheria kandamizi huyo Mungu unaemuomba Kwa ujasiri upi !!? Na damu imemwagwa Kyle ngoro ngoro!!?Lana za watz Kwa uonevu was kisheria unazikwepaje!!?

Fikiria upya 2025 is a real deal!!
 
Bado asili ya uongozi wa nchi hii ipo akhera au kuzimu kavu!huko ndipo walipo ma hayati wote waliotangulia kufa tukawazika Kwa mbwembwe na huko ndipo wanapanga kiongozi anaefuata huku juu yaani jina linatoka huko sisi tunakamilisha Kwa kupiga kura kuhalalisha huyo alochaguliwa!!

Hata hivi vyama ni vyama vya kichawi vipo Kwa ajenda za akhera kuzimu kavu!!!

INGIA YOUTUBE MTAFUTE SHEHE OMARI MNYESHANI NA KAFARA LA LINDI UONE MZIGO!!!
 
Na safari hii alieomba nafasi awe kiongozi wa malaika ndo yupo mstari wa mbele kupanga na kupangua
 
Ila,wapendao uchawi na madaraka,wengi ni wanaCCM wenzako.Miezi hii watu wenye ndugu walio na albinism wanawaza sana kila wakiwaoneni ninyi CCM.
 
politically,
which is healthier arrival?
late or before?
Hakuna hata moja jema hapo bora ufike kwa wakati maanake wengine wanapata madaraka mapema hvyo wanakuwa hawajakomaa bado na wengine umri umeenda hawaendani na current generation kwa hyo uongozi ni maandalizi mkuu sio kusubiri zali la mentali watu watakupiga knockouts.
 
Ukikosa uwezo ukawa na tamaa utafanya lolote kupata uwezo.
Waliaminishwa ktk giza ndomana wanaenenda ktk giza, but Nuru hufukuza giza.
Ukiamini katika Nuru utakuwa kiongozi bora nawe kila upitapo utapata hadhi na heshima stahiki.
 
una wazungumziaje watu kama akina generali ulimwengu na mh.warioba kupambana kama wanaharakati dhidi ya akina Paul makonda, pumbalu au Tulia?

kuna alie chelewa au kuwahi zaidi kwenye medani ya siasa kwa sasa? πŸ’
 
Ila,wapendao uchawi na madaraka,wengi ni wanaCCM wenzako.Miezi hii watu wenye ndugu walio na albinism wanawaza sana kila wakiwaoneni ninyi CCM.
hebu elezea vizur kidogo, tupe uzoefu,

walikukosa kosa ee hao uliowataja au wakati uko foleni kuingia kwa mganga, kibabe akaja mwanasiasa wa chama ulichotaja kusimama mbele yako aingie kwanza yeye?πŸ’
 
ntaingia huko YouTube nimuone huyo binadamu ana maono gani juu ya ushirikina ...

nakubaliana nawe kwamba viongozi, mamlaka na serikali za wanadamu katika dunia hii zinatoka kwa Mungu..πŸ’

Ni muhimu kuamini Mungu
 
Wewe jipotezepoteze ukijidai hauwajui CCM wenzako wacheza na fisi.
mie sio mchawi wala sishiriki ushirikina. Mimi ni wa Nuru sio Giza..

Ndio maana kila siku nashuhudia Neema na Baraka za Mungu katika siasa zangu,

Mambo ni hadharini tena mchana kweupe, mtu una madigrii yako kadhaa unarubuniwa na mtu ambae hajamaliza hata darasa la saba, ni ajabu sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…