Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Nakaziaaaa.
 
Tuna-share maarifa tu kulingana na uzoefu na shuhuda zetu, hatuwekeani sheria za kuishi. Mwisho wa siku kila mmoja atafanya maamuzi kwa mustakabali wa maisha yake, na kila mmoja atakababiliana na consequencies za maamuzi yake
Mimi mwanamke nilieshi nae 8 yrs nimemzidi miaka mingi sana, kwa kifupi vitoto hvyo ulivyosema vina matatizo mengi sana,,kwanza kabisa kuhandle pressure na matukio haviwezi,vinapanic mnoo... Matukio kadhaa tu kishachoka🤣🤣
 
18-23 bado immature na wanapambania ndoto zao, elimu n.k, atleast >30 wako mature, sidhani kama wewe utamuoza binti yako wa miaka 18?. DONT treat women as an object/ property for pleasure
Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.

Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman
 
Thubutu hiyo age nimepita mahesabu yangu yanacheza mbali [emoji3][emoji3][emoji3] mtu mzima mwenzangu namuitaje baby[emoji3][emoji3]
Kwenye kikao cha ukoo tuna baba yetu mdogo yeye na mke wake wanaitana beibiii na hawana hata pesa, wanaharamu mule wao ni kumchora na kumcheka tu,huwa najisikia vibaya kwa ajili yake hajui tu😆😆
 
Hii MADA yako ihifadhi mbeleni huko ukizaa watoto wa kike tupu utaikumbuka
 
Kwenye kikao cha ukoo tuna baba yetu mdogo yeye na mke wake wanaitana beibiii na hawana hata pesa, wanaharamu mule wao ni kumchora na kumcheka tu,huwa najisikia vibaya kwa ajili yake hajui tu😆😆
Nyie wanaume mnaonaga Raha kuitwa beib utadhan mnapewa Dunia nzima 😀
 
Mimi mwanamke nilieshi nae 8 yrs nimemzidi miaka mingi sana, kwa kifupi vitoto hvyo ulivyosema vina matatizo mengi sana,,kwanza kabisa kuhandle pressure na matukio haviwezi,vinapanic mnoo... Matukio kadhaa tu kishachoka🤣🤣
Point ipo hapo kwenye kumzidi miaka mingi. Nimelenga iyo interval ya 18-23 ili kuendana na kijana wa kiume ambae yupo 30's ambapo wengi hapo ndipo wanapoanzisha familia lakini haimaniishi kwamba hata ukiwa na miaka 50 ndio uchukue binti wa miaka 19. Unaweza kuongeza kadili umri unavyosogea mfano kama upo late 30's unaweza kupanda mpaka kwa mwanamke wa miaka 26 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…