nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,249
- 1,737
Nimepata katoto miaka 21, na kako tayri kuolewa, nmekazid miaka 9Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo 🤔
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Hujui mahaba eeeeh😂😂😂😂 kwaiyo ukisikia mtu anakuita beib ni mwizi huyo sio😀😀😀😀Sio kweli mmatumbi akiniita beibii nashika visarafu vyangu kama vipo, mimi na ubeibi gani zaidi ya ujambazi tu?
Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"Familia kwangu ni kitu muhimu kuwa na mke pia sisapoti kataa ndoa
udange kipindi uko balobalo mzuri wa hajaUzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Hongera mkuuNimepata katoto miaka 21, na kako tayri kuolewa, nmekazid miaka 9
Kwa hapa kifalsafa tunakinzana wazazi kilichowatenganisha ni kifo why nisioe mkuu,Kataa ndoa hatupingi kuwa na familia, hatupingi mtoto kupata malezi ya baba na mama, ambacho tunakipinga ni ule mkataba wa kitapeli kwa mwanaume uliopewa jina la "ndoa"
..mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume kuwa anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, e.g wahàdzabe etal.Halafu inaonekanana wanaume wengi hamjui tofauti ya damaged woman na matured woman. Mwanamke anaekataa kuolewa akiwa 20's ili aweze kuishi maisha ya partying, clubbing and hoeing halafu akifikisha 30's ndo anataka nice guy wa ku-settle nae huyu sio matured woman, huyu ni damaged woman.
Hao wanawake mnaowatetea wanapigania ndoto zao embu wafuatilieni trend ya mahusiano yao inaendaje. Mtu kama gigy money akifika 30 atasema amepevuka kiakili na kuna ambao mtamuita matured woman
Kwa nchi yetu inavyoandaliwa hata ukijifanya unafanya mahaba ni kufuga umaskini tu na kuandaa kizazi cha wakora tu😆😆Hujui mahaba eeeeh😂😂😂😂 kwaiyo ukisikia mtu anakuita beib ni mwizi huyo sio😀😀😀😀
Watu wanataka tutetee au tufiche makando kando kwa sababu tuna ndugu wa kike. Feminism world imewaaminisha wanaume wa kisasa(simp) kushusha hadhi na standards ili mwanamke awe comfortable ndio ugentleman. Halafu upande wa wanawake wameshikilia pale pale "no money no love" bila kujali na wao wana baba na kaka masikini au ni mama watarajiwa wa mtoto wa kiumeHatuwez tetea ujinga chief
Hujaspecify(we una amini umri sahihi wa mwanaume kuoa ni age ipi?..mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, wahàdzabe etal.
Ilo jina hapa kwa kweli. Mimi wife aniite mume wangu au baba fulani akishindwa hayo mawili basi aniite kwa jina langu tu, lakini baby, honey na upumbavu mwingine hapana kwa kweliNyie wanaume mnaonaga Raha kuitwa beib utadhan mnapewa Dunia nzima 😀
😀😀😀Ilo jina hapa kwa kweli. Mimi wife aniite mume wangu au baba fulani akishindwa hayo mawili basi aniite kwa jina langu tu, lakini baby, honey na upumbavu mwingine hapana kwa kweli
Mkuu, naona hujalenga kwenye sehemu moja, ujue damaged women/B2B middle fielder/single mothers wenye tabia za hovyo wenye miaka 30+ hata na wao kuna kipindi walikuwa na miaka 18-23, unaeza oa pisi yenye piaka 22 ikakutesa, ukaoa mdada mwenye miaka 28 asie na mtoto na ambae hajawahi olewa, akakupa amani kwenye maisha yako yote ya ndoa.Wanawake sio watu wa kutumia logic, anaweza kutetea kitu kwa sababu ni mnufaika halafu masilahi ya hicho kitu yasipokuwepo tena anaamia upande mwingine kukipinga, mfano akiwa na miaka 22 atasema anataka wanaume wa miaka 30+ kwa sababu wa age yake sio aize yake. Mwanamke huyo huyo akifika miaka 30 akaona mwanaume wa miaka 30 anadate na mwanamke wa miaka 22 atasema mwanaune uyo anawalenga wanawake wadogo kwa sababu wanadanganyika kirahisi. Kwa kifupi usizingatie sana anachokisema mwanamke, hawa wwnzetu huwa wanaendeshwa na hisia wanazokua nazo kwenye moment husika, na sio logic.
Miaka 18 kama binti yangu shule haipandi na mipango yake mingine haimzuii kuolewa akija kijana mwenye rekodi nzuri na binti yangu akaridhia kuolewa nae mimi siwezi kuweka kipingamizi...mfano binti yako wa umri wa 18, uko happy kum-send off kwa ndoa? na kwanini umeweka standard kuwa mtoto wa kiume kuwa anakuwa tayari kuoa kuanzia 30? Labda kama unatoka nomadic society ya kifugaji na wawindaji, e.g wahàdzabe etal.
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Miaka 18-23 huyu bado ana ile purity na inocence ambayo veteran wa miaka 28+ hana. Kwaiyo ni rahisi kumweka kwenye mstari mapema ukilinganisha na yule wa 28+ ambaye tayari akili ishakua corrupted na itikadi na chaos za kwenye dating pool.Mkuu, naona hujalenga kwenye sehemu moja, ujue damaged women/B2B middle fielder/single mothers wenye tabia za hovyo wenye miaka 30+ hata na wao kuna kipindi walikuwa na miaka 18-23, unaeza oa pisi yenye piaka 22 ikakutesa, ukaoa mdada mwenye miaka 28 asie na mtoto na ambae hajawahi olewa, akakupa amani kwenye maisha yako yote ya ndoa.
Mambo mengi sana yamepotoshwa kwa kisingizio cha usasa wakati nature ya binadamu bado ni ile ile.Sahivi naona jamii kuna namna wanaume wanakua discouraged namna flani from dating binti wadogo, eti mwanaume ukimpa mimba mwanafunzi ni miaka 30 jela hata kama mlikubaliana, James delicious ni shoga anatakiwa awe jela aliwekwa mahabusu akatoka kwa dhamana mpaka Leo anadunda mtaani, mara chache saba nasikia shoga anafungwa miaka 30 jela, ila ni mara nyingi tu naskia mwanaume kafungwa miaka 30 jela kisa katembea na binti mwanafunzi, Jf ukipost thread ya ku-date na binti wa miaka 18-22/ form 4 girl aliepata div 4 ambaye hasomi tena, mods wanaufuta uzi Natafuta Ajira
Mwanamke wa miaka 40+ hawezi kumudu shughuli ya mwanaume mwenye umri huo. Miaka 40 sex drive ya mwanamke inaanza kuingia kwenye decline stage wakati kwa mwanaume ndio yupo kwenye kilele chake. Labda kama uyo mwanaume ana matatizo ya kiafya.
- Usichojua ni kuwa at 40`s wanawake ndo wako na njaa na sex kuliko rika zote.
- Na usichojua ni kuwa at 40`s wanaume wengi tezi dume linaanza kusumbua kidogo kidogo, at 50`s na kuendelea hapo hata hiyo sex yenyewe inakuwa adhabu. Sasa uko na 50+ na tezi dume lako, mkojo kutoka mpaka ujiminye misuli halafu mkeo ndo ana 40, ndo mwishowe anakuwa lishangazi mjini.
Sasa kulikuwa na haja gani ya kutumia neno menopause hadi kwa wanaume ulishindwa nini kutumia hilo andropause, au ulikuwa hulijui ila baada ya mimi kukukosoa ndio ukakimbilia google ukalitafuta hadi ukalipata, tatizo siyo kutoondoa mantiki ya mada tatizo ni ulazima wa kutumia neno lisilohusika ilihali linalohusika lipoMenopause kwa mwanaume ipo na hata ukimwambia mtu anaejua biology vizuri atakuelewa., kurahisha au kuitofautisha na ile ya mwanamke ndio ndio unaweza kusema "male menopause" au "andropause". Wewe lengo lako ni kubishana tu kwaiyo hata point ambayo haiondoi mantiki ya mada utaishikilia iyo iyo