Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Vijana wanashindwa kuelewa tofauti ya love na survival. Wanashindwa kuelewa tofauti ya matured woman na damaged woman.
Kama mwanamke ametumia 20's yake kuhama hama kutoka mahusiano haya kwenda mengine halafu baada ya kufika 30 anataka nice guy wa ku-settle nae that is not love, that is survival. She is not matured woman, she is damaged woman.
Hii saikolojia ni kwa special group tu la wanawake kwa wengine haifanyi kazi.Ni ajabu Sana
Watu wengi hawajui saikolojia za Wanawake
Mwanamke mwenye Miaka kuanzia 30+ kwenda juu na Masuala ya kupenda wapi na wapi
dogo unataka kunichafulia jina kwa hiyo pisi ya uswazi?I'm good,
Nope Half american a.k.a haji mnr didn't show up, so I went back home.
Mjane ni yule aliyeolewa akafiwa.. je kwa huyu ambae hajaolewa tumuite mjane?Uyo ni mjane sio single mother
Kaka sio kwa hili povuππdogo unataka kunichafulia jina kwa hiyo pisi ya uswazi?
Kaka wapo wanawake wa umri huo wanajiweza kiuchumi na wala hawahitaji chochote kwako zaidi ya mapenzi , tatizo mnafikiri mapenzi ni kwa ajili ya wanawake wa kimatumbu tu ambao ni maskini.
Anataka kunichafulia jina huyo kenge maji πKaka sio kwa hili povuππ
Hii saikolojia ni kwa special group tu la wanawake kwa wengine haifanyi kazi.
Mwamba unadaiwa huyo etiAnataka kunichafulia jina huyo kenge maji π
Mamtu Hannah usimsikilize huyo alafu soma kapsheni pichani.
View attachment 3279790
Ukiweka pembeni kigezo cha kujiweza kouchumi bado hasara za ku-settle na mwanamke wa 30+ ni nyingi zaidiKaka wapo wanawake wa umri huo wanajiweza kiuchumi na wala hawahitaji chochote kwako zaidi ya mapenzi , tatizo mnafikiri mapenzi ni kwa ajili ya wanawake wa kimatumbu tu ambao ni maskini.
Kumbe mwamba mwenyewe ndio huyuMwamba unadaiwa huyo etiView attachment 3279792
Kama walikua pamoja na mzazi mwenzie kipindi cha uhai wake tumwite tu mjaneMjane ni yule aliyeolewa akafiwa.. je kwa huyu ambae hajaolewa tumuite mjane?
ππππAnataka kunichafulia jina huyo kenge maji π
Mamtu Hannah usimsikilize huyo alafu soma kapsheni pichani.
View attachment 3279790
Tunapeana miongozo kama wanaume. Wanawake accountability inawashinda ndio maana ajenda yoyote ya kikao ikawachoma mnatafuta kisingizio kwa kutaka ionekane shida ipo kwa mwanaume. Udange, mbususu ichakazwe, ubaki single mother na trauma zako kibao halafu ateseke mwanaume.! are you normal?Wanawake wanawatesa bado.....
Formality zipo, suala la kusema hakuna formular ni visingizio tu watu wanatumia kutetea maamuzi yao mabovu au uchafu wao wanaoufanya kwenye dating pool.Diversity Diversity, Tujifunze Kuembrace Diversity wakuu haya mambo ya Mahusiano hayana Formality kabisa Binafsi mtoto wa Miaka 18-23 siwezi kumfurahia wala kupiga nae story zozote, Nimekuwa napenda sana Wanawake wake ambao ni predators
Inasemekana huko jamhuri ya vilaza wa fb lakiniπKumbe mwamba mwenyewe ndio huyu
Ninachoandika huwa nalenga kutoa mwongozo kwa vijana wa kiume, sasa kama mwanamke yupo kwenye wrong side ilo sio kosa langu. Nikishauri kijana kuoa mwanamke bikira sijawasakama wanawake ambao hawajajitunza.We jamaa kwa kuwasimanga wanawake huwa haujambo kbsa