Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Kwaiyo unashauri tuwaoe maveterani wa 30+? ambao baada ya kukusanya body count zisizokua na idadi, kuaribu kizazi kwa kumeza p-2, kuwa single mother na kuachiwa majeraha na maex wao, sasa tayari washajua wanataka nini kwenye maisha
Una uhakika hao wa 18 -23 hawatumii P2, au hawajachoropoa mimba? Na kuna wa miaka kuanzia 25 wako decent kabisa.
 
Una uhakika hao wa 18 -23 hawatumii P2, au hawajachoropoa mimba? Na kuna wa miaka kuanzia 25 wako decent kabisa.
uwezekano wa mapito hayo unaambatana na umri, miaka 30 kapitia mapito mengi ukilinganisha na uyo wa 18-23. Ukifanya vetting vizuri ni rahisi kumpata mwenye past safi hapo kwenye interval ya 20-23 ukilinganisha na hao wa 30+
 
Naenda kuprint na kupiga Lamination
 
Mkuu! Mimi natokea kanda ya ziwa kwenye Kaya kumi, kama Kaya saba mama aliishia darasa la saba, watoto wakijitahidi sana wanaishia form four

Aya kwenye hizo Kaya tatu ndo unakuta maza ana diploma ya nursing, ualimu watoto wanafanikiwa kufika Chuo na wao aidha degree ama diploma,

By the way naunga hoja Hatuoi degree lakini miaka ya karibuni mtoto kukosa elimu ya Chuo, ni jambo la kushangaza, in case uwezo wa kumfikisha hio level inapaswa kwa miaka ya baadae mtu kuwa na degree au masters viwe vitu vya kawaida

And these nawapongeza jiji daslamu degree sio kitu cha kumtishia mtu,
 
Wapo vizuri fin Kipesa wote mkuu
 
Sio wa kwangu tu, wana tabia zinafanana wengi wao.
Basi badilisheni aina ya malezi mnayowapa. Wapunguzieni muda wa kuangalia sana tv ambapo uko wanakutana na vipindi vya reality shows na girls trip ambavyo wanawake watu wazima wa 35+ huwa wanajiigiza kama mabinti wa miaka 17.

Mimi wife wakati nakutana nae alikua na miaka 19 na tayari alikua na akili za kikubwa mfano mkitoka halafu akaona kama expenses zinakua nyingi, hata kama mfuko unaruhusu ananipa signal warning kwamba tunatoka nje ya bajeti. Nilimuoa mwaka mmoja na nusu mbele akiwa na miaka 20
 
Sijasema pasua kichwa, wana mambo ya kitoto sana.
Binafsi Ata mimi Leo na umri huu still Mama yangu angekuwepo bado angeniona mtoto,mtoto kwa mama hakui

Labda niulize, wewe kama mwanamama ambae umepita viuzi, vingi ni umri sahihi kwa binti wa sasa kuolewa ukiachana na miaka Ile ya 2010 kurudi enzi zile 16 years kashaolewa na anahandle maisha vizuri
 
Ulioa mwaka gani?
 
Miaka 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…