Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

"wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko."
Mwalimu wako wa Biology alikuwa nani Mkuu sio kwa ubaya lakini,
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Inabidi tuunge mkono hii kampeni, kataa ndoa, tafuta watoto lea, na wao waje kukร a ndoa pia??!! Apa ndio mwisho wa mawazo ..Bora kipi? Tafuta PESA halafu tafuta amani na moyo wako halafu tafuta katoto kadogo kadogo 18-23 hapo kula maisha, daaah ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
 
Muongo.. mimi pia nilimaliza chuo nikiwa bikira na Miaka 23 na miezi3 ndio nikabikiriwa so wapo wana vyuo wengi tu ni bikira na huwezi kuwajua abadani na ni warembo haswa
Iyo jamaa aliyekubikiri Bado unaishi naye???
 
Unakuta baadhi ya wadada wanakaribia 30+ ni wazuri, wana shepu, hawana watoto, hawajawahi olewa, na wapo desperate wanataka kuolewa, ila wana vizinga hao, wananishangazaga kwakweli, najiuliza kwa tabia iyo ya kuomba omba wanaume hela wataolewaje, sijui lakini ngoja nione watakaokuja kuwaoa Natafuta Ajira Nashengena Mr Pixel3a Melancholic Hannah Joanah Joannah
 
Women are liabilities, relationships are expensive. Kijana ambae bado unajitafuta masuala ya committed relationship unatakiwa kuyaweka pembeni kwanza kwenye equation yako.
Kabisa mkuu unachokizumgumza ni ukweli mtupu
 

Nimejiuliza uliowatag
1. Wanakaribia 30+ hawajaolewa? Au
2. Wanaomba omba hela?
3. Wana sura na shape nzuri?
 
Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids

Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo ๐Ÿค”
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Wapo wanaotaka kuoelewa ila vingi akili kisoda, vitakusumbua.

Uoe dem ana miaka 18 si kujitafutia presha tu huko, labda kuanzia 21
 
Wapo wanaotaka kuoelewa ila vingi akili kisoda, vitakusumbua.

Uoe dem ana miaka 18 si kujitafutia presha tu huko, labda kuanzia 21
Mimi nafikiri shida ni malezi yetu, labda na stereotype tuliyoijenga akilini kuhusu hawa tunaowaita "vitoto vya 2000". Lakini kiukweli miaka 18 kwa binti alielelewa vizuri ana vigezo vyote vya kuwa mke. Saido Mane kaoa binti wa age kama iyo.
 
Mimi nafikiri shida ni malezi yetu, labda na stereotype tuliyoijenga akilini kuhusu hawa tunaowaita "vitoto vya 2000". Lakini kiukweli miaka 18 kwa binti alielelewa vizuri ana vigezo vyote vya kuwa mke. Saido Mane kaoa binti wa age kama iyo.
Daah mzee Sadio Mane?? Ukwasi wa yule mwamba unaufananisha na huku kajamba nani?

Na ndio shida ni malezi, we angalia tu mabinti wengi wenye miaka 18 wanavyobehave, umuweke awe mama wa familia, kwamba wewe haupo yeye ashike usukani, aloo.
 
RED PILLS๐Ÿ’Š๐Ÿ’Š๐Ÿ’Š.MUSCULINITY AT RESCUE!!!!

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ