Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #581
Jamii haiwezi kuwa uniform. Waliojitunza watakuwepo na street hoes watakuwepo kwaiyo ni wajibu wa kila mmoja kujua anaji-adjust vipi kwa manufaa yakeSasa assume tunaishi kwenye jamii mnayoitaka ambayo hao street hoes hawapo, kila mwanamke amejitunza anasubiri ndoa, haya tuambie hao wanaume wataponea wapi
Anaonekana mtoto huku ameshatembea na wanaume 8,ameshafirwa,yupo sekondari,college ananyonya mboo .........ila wazazi wake wanasema bado mtoto,aje asuburie afike 30,aolewe na SIMP mmoja hivi kutoka jamii forumSomewhere somehow tumeyumba kwenye malezi yetu kiasi kwamba binti wa miaka 18 anaonekana ni mtoto.
Hivi mkuu ulioa bikra?Formality zipo, suala la kusema hakuna formular ni visingizio tu watu wanatumia kutetea maamuzi yao mabovu au uchafu wao wanaoufanya kwenye dating pool.
Hauwezi kusema potential outcomes za kuoa mwanamke bikira ni sawa tu na kuoa asiekua bikira wakati hata takwimu zinaonesha walioolewa bikira ndio mahusiano yao yanadumu
Hauwezi ukasema kutengenezya bond na mwanamke ambae wewe ndie mwanaume wake wa kwanza ni sawa na kutengeneza bond na mwanamke ambae wewe ni mwanaume wa 10 kwenye list yake.
Hivi mkuu ulioa bikra?Formality zipo, suala la kusema hakuna formular ni visingizio tu watu wanatumia kutetea maamuzi yao mabovu au uchafu wao wanaoufanya kwenye dating pool.
Hauwezi kusema potential outcomes za kuoa mwanamke bikira ni sawa tu na kuoa asiekua bikira wakati hata takwimu zinaonesha walioolewa bikira ndio mahusiano yao yanadumu
Hauwezi ukasema kutengenezya bond na mwanamke ambae wewe ndie mwanaume wake wa kwanza ni sawa na kutengeneza bond na mwanamke ambae wewe ni mwanaume wa 10 kwenye list yake.
Muongozo upo, haiwezekani ukaoa single mother halafu ukategemea baba mtoto hayupo kabisa kwenye maisha ya mwanae na mama mtoto. Haiwezekani ukaoa veterani wa 30+ halafu ukategemea ana ile purity and innocence kama binti wa miaka 18-23. Again, miongozo ipo ni binadamu tu mnataka kufanya mambo yawe complicated.Ni maoni sio fact hiyo maana huna ushahidi wa hilo.
Hiyo kila mtu ni jinsi anavyoona yupi rahisi kwake kulingana na vipaumbele vyake.
Mahusiano yana mambo meng ya kuzingatiwa. Ndio maana wataalamu wa mambo husema "hayana muongozo"
Wanaume tutapona tu,nature haiwezi kubali street hoe kama wewe,unayeumia wanawake kujitunza wakosekaneSasa assume tunaishi kwenye jamii mnayoitaka ambayo hao street hoes hawapo, kila mwanamke amejitunza anasubiri ndoa, haya tuambie hao wanaume wataponea wapi
NdioHivi mkuu ulioa bikra?
Nimecheka *******Anaonekana mtoto huku ameshatembea na wanaume 8,ameshafirwa,yupo sekondari,college ananyonya mboo .........ila wazazi wake wanasema bado mtoto,aje asuburie afike 30,aolewe na SIMP mmoja hivi kutoka jamii forum
Basi kwa kauli hii maana yake hamjui mnachokipigania ni kama mnajitekenya na kucheka wenyewe mnasema mnapigania ustawi wa jamii, na kwamba mnataka mabinti wajitunze halafu hapo hapo tena mnataka kuwepo na mabinti wasiojitunza ambao wanaishi kwenye jamii moja na kuchangamana, hivi kwa akili ya kawaida tu unaona hilo linawezekana kweli hasa kwenye hii dunia iliyojaa utandawaziJamii haiwezi kuwa uniform. Waliojitunza watakuwepo na street hoes watakuwepo kwaiyo ni wajibu wa kila mmoja kujua anaji-adjust vipi kwa manufaa yake
Kuna binti ni mtoto wa Kikinga Nilianza kumfatilia mwaka 2021 alikuwa 17 wakati. Huo ndo kaingia frst year diploma demu akanichomolea basi , akasema mimi mkubwa kipindi 2021 ni miaka 32,Anaonekana mtoto huku ameshatembea na wanaume 8,ameshafirwa,yupo sekondari,college ananyonya mboo .........ila wazazi wake wanasema bado mtoto,aje asuburie afike 30,aolewe na SIMP mmoja hivi kutoka jamii forum
Hapo ndipo hata mimi nashangaa. Mzazi anaona sio sawa binti yake kuolewa akiwa na miaka 18 kwa kisingizio kwamba bado mdogo na anapigania malengo yake. Anataka binti yake afikishe angalao miaka 25 hiviAnaonekana mtoto huku ameshatembea na wanaume 8,ameshafirwa,yupo sekondari,college ananyonya mboo .........ila wazazi wake wanasema bado mtoto,aje asuburie afike 30,aolewe na SIMP mmoja hivi kutoka jamii forum
Hi jamii imejaa unafiki sana,99% ya mabinti waliotoka form 4 kwenda college Wana miaka chini ya 20,wazaNimecheka *******
Atakuja kukushobokea akiwa na miaka 24 plus,.......muda ni mwalimu mzuriKuna binti ni mtoto wa Kikinga Nilianza kumfatilia mwaka 2021 alikuwa 17 wakati. Huo ndo kaingia frst year diploma demu akanichomolea basi , akasema mimi mkubwa kipindi 2021 ni miaka 32,
Nikaendelea kumuweka kama friend kaja kumaliza yupo na kijana mwenzie, kuliko mimi
Hapo ni mwaka Jana tiyari kaua Chuo yupo 20 of age mimi 34 by age nikamwambia nataka kumuoa akasema, yeye ana malengo makubwa ya kimaisha kwa sasa hafikirii kuolewa nikasema poa mkuu
Nilishakuambia ukiniquote uwe unajibu hoja usiniandikie mimi huu upumbavu wako, wewe nawe kwa akili hizo kuna mwanamke atakubali kuolewa na wewe na kukuzalia watoto, kweli wanawake wana huruma sana waheshimiwe tuWanaume tutapona tu,nature haiwezi kubali street hoe kama wewe,unayeumia wanawake kujitunza wakosekane
Sema demu nahisi alinikataa kwasababu ya mafaoHi jamii imejaa unafiki sana,99% ya mabinti waliotoka form 4 kwenda college Wana miaka chini ya 20,waza
Atakuja kukushobokea akiwa na miaka 24 plus,.......muda ni mwalimu mzuri
Suala la ustawi wa jamii mshalivuluga nyie wenyewe na ajenda zenu za kifeminia. Hapa tunasambaza injiri kwa wanaume waji-adjust kitaalamu kwenye mfumo. We don't give a fvck about street hoesBasi kwa kauli hii maana yake hamjui mnachokipigania ni kama mnajitekenya na kucheka wenyewe mnasema mnapigania ustawi wa jamii, na kwamba mnataka mabinti wajitunze halafu hapo hapo tena mnataka kuwepo na mabinti wasiojitunza ambao wanaishi kwenye jamii moja na kuchangamana, hivi kwa akili ya kawaida tu unaona hilo linawezekana kweli hasa kwenye hii dunia iliyojaa utandawazi
Mimi sidhani kama wazazi wote hawataki mabinti zao waolewe katika umri huo ambacho hawataki ni binti zao kuolewa na wanaume wasiowapenda, watu wengi wanasingizia kwamba binti wa umri huo akili yake haiwezi kujua mume sahihi ni yupi hivyo anatakiwa achaguliwe halafu hapo hapo wanasema akili yake imeshajua namna ya kuwa mke unaona contradiction iliyopo hapo, na kingine kinachopelekea mabinti wa siku kugoma kuolewa mapema ni wanaume kukimbia majukumu na kutaka kusaidiana maisha yani ni either uolewe mapema ukawe golikipa unyanyaswe au uchelewe kuolewa ukiwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato ili mumeo akuheshimuHapo ndipo hata mimi nashangaa. Mzazi anaona sio sawa binti yake kuolewa akiwa na miaka 18 kwa kisingizio kwamba bado mdogo na anapigania malengo yake. Anataka binti yake afikishe angalao miaka 25 hivi
Kwenye iyo safari ya kupigania malengo binti anatombwa tombwa na randomly strangers, uko chuo anaishi kwenye ndoa bubu na boyfriend wake ambae hawataoona baada ya kumaliza masomo, anampikia chakula, anamfulia nguo na huduma zingine zote kama mke, sasa si bora aoelewe tu akatombwe na mumewe halali akiwa kwenye ndoa
Tatizo watu wanakimbilia kusema wanataka mabinti wadogo bila kufanya tafiti mabinti wa Sasa wanataka Nini inabidi wajue kabisa mabinti wenye 30+ sio kwamba hawakupata wanaume ila waliwakataNimelia sana ukiwa mkubwa na hauna pesa utadharaulika sana 🥶~tundaman
Mabinti wa kizazi hiki wanataka mwanaume mwenye kila kitu,Tatizo watu wanakimbilia kusema wanataka mabinti wadogo bila kufanya tafiti mabinti wa Sasa wanataka Nini inabidi wajue kabisa mabinti wenye 30+ sio kwamba hawakupata wanaume ila waliwakata
Sasa huko kujiadjust kunatakiwa kuendane na uhalisia na idadi ya hao wanawake waliojitunza vinginevyo labda kama mnataka wanaume watatu muoe mke mmoja hapo sawa, wanaume hawawezi kukwepa lawama kwenye suala zima la wanawake kutojitunza hata dunia ipinduke juu chini, siku mkilikubali hili mtakuwa mmepiga hatua moja mbele kuelekea kwenye mabadiliko vinginevyo hamna tofauti na mtu anayekimbia kwenye treadmill akitarajia kufika anako kwenda..sisi tumekaa pale tunawasubiri mje tuongee lugha moja!!Suala la ustawi wa jamii mshalivuluga nyie wenyewe na ajenda zenu za kifeminia. Hapa tunasambaza injiri kwa wanaume waji-adjust kitaalamu kwenye mfumo. We don't give a fvck about street hoes
Nani kakuambua dhumuni la mwanaume kuoa mke mama wa nyumbani ni kumnyanyasa? Moja ya mambo ambayo umeshindwa kuyajua kwenye hoja zako ni hapo kwenye kutofautisha mfumo dume na unyanyasajiMimi sidhani kama wazazi wote hawataki mabinti zao waolewe katika umri huo ambacho hawataki ni binti zao kuolewa na wanaume wasiowapenda, watu wengi wanasingizia kwamba binti wa umri huo akili yake haiwezi kujua mume sahihi ni yupi hivyo anatakiwa achaguliwe halafu hapo hapo wanasema akili yake imeshajua namna ya kuwa mke unaona contradiction iliyopo hapo, na kingine kinachopelekea mabinti wa siku kugoma kuolewa mapema ni wanaume kukimbia majukumu na kutaka kusaidiana maisha yani ni either uolewe mapema ukawe golikipa unyanyaswe au uchelewe kuolewa ukiwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato ili mumeo akuheshimu