Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
po kuna jirani yangu mzee fulani wakati anaoa na mke wake mke wake ana miaka 17 kipindi yupo bikra hasa mzee miaka 30 cha ajabu watoto wawili amezaa na mwanaume mmoja ndani ya ndoa na huyu mzee na still jamaa bado anamla mpaka leo huyu mama,na mwingine alioa mwanamke ana miaka 25 mwanaume miaka 50 mzee sasa hivi hajiwezi mke wake analiwa na vijana Tu!mkuu acha kugenelize aisee haya mambo hayaeleweki hata kidogoNyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
usi approach kizee Sasa, Anza uhusiano kwanza.For sure hii ndo circle ambayo nakutana nayo, sana wengi bado wanasoma ukiwaambia kuolewa Wanaona tiz
Niapproach vipi mi nipogo straightusi approach kizee Sasa, Anza uhusiano kwanza.
Uyo ndio mzuri mkuu. Wengi wao huwa hawana uzoefu wa kuishi na mwanaume kwaiyo ni rahisi kumpanga vile unataka awe. Halafu gap ya umri usiiogope hata ukimzidi miaka 12 akifikisha miaka 30 ataanza kuonekana ni agemate wako. Biological clock ya mwanamke inaenda haraka kutuziddi sisi wanaumeKibinti kidogo cha kihivyo kinaboa utajikuta unashinda bar tu
😀😀😀😀 kwanini mkuuBaba yangu kwenye maswala ya mahusiano siwez kumsikiliza
Kama maji ushayavulia nguo, yaoge tu. Hapa nawapa taadhari vijana ambao bado hawajayatimbaKimeumana kwaiyo Hawa tukiwaacha waende wapi😂
Mimi mmoja wao mbn sijayatimbaKama maji ushayavulia nguo, yaoge tu. Hapa nawapa taadhari vijana ambao bado hawajayatimba
Ndio ukwel huo lakiniDah nime cheka Sana 😂 😂
Haya ni maneno ya kipumbavu ambayo wanawake wa kiafrika msiotumia akili zenu mmejazwa vichwani mwenu na mafeminists wa magharibi hasa kutoka Sweden kule ambako wanawake hawazai wamebaki kuishi na mapaka tu ndani, mmeaminishwa kwamba kuzaa na kufanya majukumu ya kike kimatamaduni ni utumwa... upumbavu mtupu!Kwani unataka umfanye mwanamke kiwanda cha kuzaa?
Baba alikua😅mpenda totozi,😀😀😀😀 kwanini mkuu
Sasa mkuu kwa umri huu kweli nadanganyika kirahis namna hiyo?? 😂😂😂.Jidanganye mkuu, bikra huwa inakatiza kote Ila sio Chuoni mkuu
Kila kitu katika maisha ya ndoa na familia kwa kiasi kikubwa inategemea na bond ya wanandoa. Inaeleweka kabisa mwanamke ambae umemkuta umri umesogea huyu tayari kashapigwa mishale mingi, sio rahisi kutengeneza nae bond ukilinganisha na mwanamke ambae unaanza nae akiwa freshKwani unataka umfanye mwanamke kiwanda cha kuzaa?
Maisha siyo kutombana na kuzaa tu, bali kuna kuishi pia na mipango mingine.
Mwanaume wa miaka 30 huyu ni kijana ambae akijiweka fiti anaweza ku-maintain nguvu zake kwa miaka 25 mbele. Wakati mwanamke wa miaka 20 huyu akijiweka fiti huyu ana miaka 15 tu ya kuwa kwenye kilele cha nguvu zake. Biological clock ya mwanamke inakimbia kwa haraka zaidi ya ile ya mwanaumeHao wanawake wa kukubali kuolewa na vibabu nani? Kwanza utaweza kummudu kwenye mapenzi au unawatafutia wenzio vifo? Mje mgongewe muanze kufa kwa sukari..!!
Halafu watoto wa uzeeni wengi wanakua michawa, baba umepata mtoto ukiwa goigoi..!!
😅Kama ana Rafiki yake nipasie Namba kaka udugu kufaana sisi ni wamoja😝Sasa mkuu kwa umri huu kweli nadanganyika kirahis namna hiyo?? 😂😂😂.
Maana mtoto ana tako la maana halaf useme eti napangika kirahis namna hiyo?
Actually mi nimependa na watu wa namna hii unawakula na kwaacha kirahis
Yes wanaume pia tunapata menopause ambayo kitaalamu wanaita andropause au hata unaweza kuita male menopause, ambayo kimsingi inasababishwa na testosterone difficiency na hutokea kwanzia umri wa miaka 60 na kuendelea. Na pia pia inaweka kuwa treated na mwanaume ukaweza kuzalisha kama kawaida maana wanakuongezea tu stimulations za kuchochea testosterone production.Hii kali kumbe wanaume siku hizi wanaingia menopause?
Wewe ndio utakua unataka vitoto kwa sababu akali yako ya kuweza kuishi na mwanamke inaishia kwa vitoto tu.Wanawake wa age hiyo unakuwa na authority and power yakumfanya namna unavyotaka awe hapa ndipo inawashinda wananaume wengi Kama wewe na ndio maana mnakimbilia kwa wanawake waliotumika sana Natafuta Ajira wape elimu hawa vijana
Umalaya tu humu JF😂😅Kama ana Rafiki yake nipasie Namba kaka udugu kufaana sisi ni wamoja😝