Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Aisee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Shida sio kibaiolojia shida unaweza kihandle akili za watu wenye miaka 18/23 ambao hawaelewi kama ww unajitafuta !
Kijana wa kiume mpaka miaka 30 anatakiwa awe amefika hatua ambayo angalao ukali wa maisha umepungua. Binti wa miaka 18-22 bado akili haijawa corrupted na chaos za mtaani na kwenye dating pool. Huyu ni rahisi kumwelekeza njia ya kupita ukilinganisha na veteran wa 30+.

Ifact hao wa 30+ sio kwamba wanaelewa kwamba unajitafuta ila wanataka retirement plan wa kusettle nae kwa sababu hawana tena options nyingi sokoni. Mwanaume ypyote awe anapumua tu wao wanaluka nae
 
Nilijua tuu. Wazee wa kataa ndoa huwa hawachezi mbali na mada kama hizi....
Angalizo: kuwa makini na kila ushauri unaopewa humu. Si ajabu kukuta anayeongoza kwa kauli mbiu ya kataa ndoa,- mwenyewe alisha oa kitambo.
NDOA NI UTAPELI mkuu
 
I wish vijana wote wenye mpango wa kujiqeka kwenye kitanzi NDOA wangekuwa wanasoma maandiko yako, very productive
 
Labda 30 ya majuu sio bongo..
Saizi watu wanafika 35 maisha bado hayajakaa sawa
Maamuzi ni yako neno langu sio sheria
 
Hii ilifanya kazi vizuri nyakati ambazo binti anakuzwa priority ikiwa ni mume, ndoa na familia tu.

Sasa hivi wanawake wana mipango nje ya hayo mambo mpaka pale ambapo akili inapopevuka at 27- 30's ndo anarudi kwenye hizi priorities.

Wakati kwa mwanaume akifika >40 anahitaji mwanamke ambaye akili imetulia, haina mambo mengi na yenye utulivu.

Sasa, ukioa binti mdogo sana, By the time upo >40 mkeo yupo ealry 20's ni hasi na chanya, unless asiwe na priorities za binti wa kisasa.

Priority ziwe za zamani za mume na familia.

NDOA SAHIHI IMEKUWA JAMBO GUMU SANA KWA KIJANA WA LEO.
 
Kwanza kabisa watake radhi wanaume wenzio kwa kusema kwamba nao wanafikia menopause hiyo iko kwa wanawake tu, menopause maana yake ukomo wa hedhi hiyo "men" imetokana na neno menstruation, na hiyo ni biology ya form three kwa mtaala wa bongo sasa wewe mwenzetu sijui kiwango chako cha elimu ni kipi

Pili tukija kwenye uhalisia mabinti wengi wa siku hizi hawako tayari kuolewa katika umri wa early 20s na wengi bikira hutolewa mapema, kwahiyo mnapodanganyana hapa kwamba sijui achaneni na single mothers go for young women sijui ni young women wepi hao mnaowazungumzia, ilihali ndio hao hawako tayari kuolewa at their prime age hadi wafike kwenye 30s sasa hamuoni kama mko too delusional

Ndio maana kila siku tunawaambia tokeni kwenye hizo fantasies mje kwenye reality huwezi kupata wanawake waliojitunza kwenye jamii ambayo hata wanaume wenyewe hawajajitunza na hawako tayari, najua mtasema oo wapo mabinti wanaojitunza lakini je una uhakika idadi yao inawatosheleza wanaume wote wanaotaka kuoa, ndio mwisho wa siku mnajikuta mnaangukia kwa hao hao wanawake mliowachezea maana ninyi wenyewe mnajua virgin women are scarce
 
Labda 30 ya majuu sio bongo..
Saizi watu wanafika 35 maisha bado hayajakaa sawa
Maamuzi ni yako neno langu sio sheria
Ninapokuambia maisha yameenza kukaa sawa simaanishi kwamba kijana awe amejenga, ana gari au biashara kubwa. Ninachomaanisha ni ule uwezo wa kujitegemea na ikiwezekana kutunza familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ