Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

Baada ya kudai katiba mpya unamlaumu Mbowe?
Mkuu mbowe lazma akinywe icho kikombe usimtetee haingii akilini ukakae na kiongozi mfanye maliziano ya kupokonya madaraka yake halafu mkafikia muafaka
 
Hicho chama kina viongozi na wafuasi wajinga sana.
 
Ulitaka Mbowe afanyaje? kuandamana hamtaki na maridhiano hamtaki afanye nini?
Ni kweli unayoyasema kuwa watanzania ni waoga wa kupigania haki.
Lakini ufahamu kuwa ni aheri tungebakia katika mazingira tale yale ya kabla ya maridhiano bandia.

Wakati ule licha ya watanzania kukosa ujasiri kupigania haki zao, lakini CHADEMA na ACT, walifanikiwa kuifanya Dunia nzima kufahamu kuwa Tanzania na watanzania wapo kwenye utawala gandamizi. ile ilikuwa ni hatua kubwa sana na muhimu. Ni kutokana na mazingira hayo, kulikuwa na pressure kubwa ya kimataifa ambayo ilifikia mpaka Samia kulazimika kumtoa Mbowe kutoka gerezani. Kutokana na ugandamizaji, jamii ya kimataifa ilisitisha misaada kadhaa kwa Tanzania. Mataifa mengi rafiki yalisitisha misaada kwa Tanzania. Msaada wa MCC ulifutwa, msaada wa jumuia ya Madola ulifutwa. Msaada wa kibajeti kutoka jumuiia ya Ulaya, ulipunguzwa sana.

Mazingira hayo magumu ndiyo yaliyomlazimisha Samia kutafuta maridhiano bandia. Akayatumia maridhiano hayo bandia kujitangaza kimataifa. Na CHADEMA ikatumika kama shahidi wa Samia kuwa utawala wake unaheshimu demokrasia na haki za binadamu.

Bila ya maridhiano yale, kibano cha jumuia ya kimataifa kingeendelea na hata kuongezeka, hali ambayo ingeweza kuwalazimisha watawala dhalimu kusalimu amri.

Leo kuna kazi kubwa kurudi kwa jumuia ya kimataifa mliyoiaminisha kuwa mambo ni mazuri, halafu ukawaambie mambo siyo hivyo. Unaweza kupuuzwa.
 
ndugu zangu mbowe na wenzake wanamapungufu meng na wanakula sn hela za ccm ila ukwel n kwamba ili mamb yt yaende sawa tunaitaj katiba mpya. nimebahatika kuw na malafk zngu ambao n walim (weng walikuw n wasimiz upgaj kura) wanayonambia jns walivykuw wanawapitish wgmbea wa ccm inatisha, had mmja amenambia mwanang juz ulvnambia unawah kpga kula nkataman nkwambie n bora ucngeend t mana kpnd wat w kpg kula hawap nilikuw na kaz ya kuwapgia kula wgmbea wa ccm, kby anajiaum ela yenyew waliypew n ndgo san. watanganyika tuamke bad tunaitaj kupgania uhuru wet. jah bls us
 
Huyu jamaa ameshagundua anaongoza kundi la NYUMBU...

Haya, baada ya kukiri kosa nini kinafuata?

Anaomba radhi na maisha yanaendelea au anajiudhuru?
 
Bila kusahau kuwaua wasio waislamu na kwamba shetani ni mwafrika. Jinga na likitabu lako hilo
 
Tujikumbushie kidgo 4rs
1. Reconciliation
2. Resilience
3. Reforms
4. Rebuild
Hizo ndio 4rs za mama mbowe alikasea ipi mkuu??
 
Kwa nini mods wanaruhusu hizi habari za uongo? Ushahidi wa Mbowe kukiri uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…