Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kunywa shahawa za mboweNisaidie tiba dada angu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa shahawa za mboweNisaidie tiba dada angu
UWT muda wote mnawaza ngono pekeeKunywa shahawa za mbowe
Mke wa mbowe naona unamtetea mmeo nenda kampe hicho kishundu usiku wa leoUWT muda wote mnawaza ngono pekee
Mbowe anafanya kazi kubwa sn kupambana na haya mashetani kwa mbinu zoteNi kweli unayoyasema kuwa watanzania ni waoga wa kupigania haki.
Lakini ufahamu kuwa ni aheri tungebakia katika mazingira tale yale ya kabla ya maridhiano bandia.
Wakati ule licha ya watanzania kukosa ujasiri kupigania haki zao, lakini CHADEMA na ACT, walifanikiwa kuifanya Dunia nzima kufahamu kuwa Tanzania na watanzania wapo kwenye utawala gandamizi. ile ilikuwa ni hatua kubwa sana na muhimu. Ni kutokana na mazingira hayo, kulikuwa na pressure kubwa ya kimataifa ambayo ilifikia mpaka Samia kulazimika kumtoa Mbowe kutoka gerezani. Kutokana na ugandamizaji, jamii ya kimataifa ilisitisha misaada kadhaa kwa Tanzania. Mataifa mengi rafiki yalisitisha misaada kwa Tanzania. Msaada wa MCC ulifutwa, msaada wa jumuia ya Madola ulifutwa. Msaada wa kibajeti kutoka jumuiia ya Ulaya, ulipunguzwa sana.
Mazingira hayo magumu ndiyo yaliyomlazimisha Samia kutafuta maridhiano bandia. Akayatumia maridhiano hayo bandia kujitangaza kimataifa. Na CHADEMA ikatumika kama shahidi wa Samia kuwa utawala wake unaheshimu demokrasia na haki za binadamu.
Bila ya maridhiano yale, kibano cha jumuia ya kimataifa kingeendelea na hata kuongezeka, hali ambayo ingeweza kuwalazimisha watawala dhalimu kusalimu amri.
Leo kuna kazi kubwa kurudi kwa jumuia ya kimataifa mliyoiaminisha kuwa mambo ni mazuri, halafu ukawaambie mambo siyo hivyo. Unaweza kupuuzwa.
Anapambana na mama Yako huyo mmeo sioMbowe anafanya kazi kubwa sn kupambana na haya mashetani kwa mbinu zote
UWT mmemalika kampeni salama hongereniMke wa mbowe naona unamtetea mmeo nenda kampe hicho kishundu usiku wa leo
Mke wa mbowe endelea kumteteaUWT mmemalika kampeni salama hongereni
UWT mbona umepanic?Anapambana na mama Yako huyo mmeo sio
Nakuelewa dada anguMke wa mbowe endelea kumtetea
Nimekuuliza anapambana na mama Yako huyo mmeo mbowe unaemtetea maana kama hujui unachokiongeaUWT mbona umepanic?
Nakuelewa dada angu piga kaziNimekuuliza anapambana na mama Yako huyo mmeo mbowe unaemtetea maana kama hujui unachokiongea
Mbowe alifanya upuuzi mkubwa sana. Ngoja alipe gharama za upuuzi aliofanya.Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema.
Leo kila mmoja ana uhakika kuwa maridhiano yale na 4Rs ulikuwa ni utapeli wa hali ya juu kwenye siasa.
Mariadhiano ulikuwa ni mchezo wa mfugaji wa kuku wa kienyeji anayetafuta kuku wa kumchinja, kuku yupo nje, anamrushia mtama ndani ya chumba, kuku aliyekosa ung'amuzi, anaamini kuwa anapendwa sana ndiyo maana amepewa chakula ndani ya nyumba, anaingia ndani, kisha mfugaji anafunga mlango, anamkamata na kwenda kumchinja. Maskini kuku huyu mjinga, siku aliyoamini sasa anapendwa na kuthaminiwa sana, kumbe ndiyo ilikuwa siku ya mwisho wa uhai wake. Anauawa bila kelele, bila hata kuku wenzake waliopo nje kusikia, bila ya kuwa na uwezo hata wa kukimbia.
Mazingira ni magumu sasa kuliko hata wakati kabla ya maridhiano haya bandia. Mwaka 2019, walipora tu uchaguzi, lakini hakuna waliotekwa wala kuuawa wala kuumizwa. Uchaguzi wa mwaka huu, wamepora uchaguzi, wameua na kuwaumiza wote walioonesha dalili ya kutaka kuzuia uporwaji wa uchaguzi.
Kama unapaona dili sana nenda na weweKwani Ikulu alikwenda Tundu Lisu au Mchungaji Msigwa?!
4R4rs ndy nini kirefu chake nini?
Ova
Wameanza uongo. Watakubaliana waseme wao ndio washindi ccm imewaibia kura. Kisha wataenda ubalozi wa marekani na umoja wa ulaya kutoa taarifa ya uongo na wao balozi watajidai ni kweli vibaraka wao ndio washindi. Tutegemea sugu akiwa na mawani makubwa ya giza chain shingoni na suruali mbano kupewa yeye kuongoza ujumbe ubalozi wa marekan.🇺🇲😆Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema.
Leo kila mmoja ana uhakika kuwa maridhiano yale na 4Rs ulikuwa ni utapeli wa hali ya juu kwenye siasa.
Mariadhiano ulikuwa ni mchezo wa mfugaji wa kuku wa kienyeji anayetafuta kuku wa kumchinja, kuku yupo nje, anamrushia mtama ndani ya chumba, kuku aliyekosa ung'amuzi, anaamini kuwa anapendwa sana ndiyo maana amepewa chakula ndani ya nyumba, anaingia ndani, kisha mfugaji anafunga mlango, anamkamata na kwenda kumchinja. Maskini kuku huyu mjinga, siku aliyoamini sasa anapendwa na kuthaminiwa sana, kumbe ndiyo ilikuwa siku ya mwisho wa uhai wake. Anauawa bila kelele, bila hata kuku wenzake waliopo nje kusikia, bila ya kuwa na uwezo hata wa kukimbia.
Mazingira ni magumu sasa kuliko hata wakati kabla ya maridhiano haya bandia. Mwaka 2019, walipora tu uchaguzi, lakini hakuna waliotekwa wala kuuawa wala kuumizwa. Uchaguzi wa mwaka huu, wamepora uchaguzi, wameua na kuwaumiza wote walioonesha dalili ya kutaka kuzuia uporwaji wa uchaguzi.
Wewe uDC tu unakuhamisha Chadema na vibuyu vyote utavitelekeza porini Msata huko😄Kama unapaona dili sana nenda na wewe
Mjinga wewe...Unamlaumu Samia wakati waliofanya hayo mnawajua
Ukiwaua wenzako unategemea uishi milele..? Mwisho wa maisha yote ni ubatili mtupuKufa kila mtu atakufa, hata wanaofanyiwa ubaya nao watakufa. Kwahiyo suala la kifo lisitumike kuwatisha baadhi ya watu.