Kuwa Gavana sio cheo cha kisiasa kinachohitaji kujua kusoma, kuandika na kusifia.Hivi ugavana wa Central bank nao unasomewa? Mpaka uwe pure economist? Haaaa vijana wa siku hizi mnatisha.
Duh, sawa.Kuwa Gavana sio cheo cha kisiasa kinachohitaji kujua kusoma, kuandika na kusifia.
Tafuta sifa za magavana wote Tanzania kabla ya huyu ndio uje uandike uharo wa bata hapa.
Anzia CV ya Edwin Mtei....., Idris Rashid,..., Prof. Ndulu n.k
Mama yako mzazi.Ulitaka apewe nani?
Hii ni Official au gossip?Kichekesho inawezekana kuna hela mpango aliidhinisha zitolewe Jan-March hazieleweki zilikuwa zinaenda wapi.......hapo ndiyo utajua Gavamenti haijabadirika
Ikulu!Wapi picha ya hicho kikao kizito?
Halafu mama yako awe naibu wangu.Ngoja wakuteue wewe
Kodi ni kwa mujibu wa sheria. Narudia, KODI NI KWA MUJIBU WA SHERIA. Serikali ifate sheria, wafanyabiashara wafate sheria. Mamlaka itumie akili katika ukusanyaji, kodi ya mwaka husika ikusanywe mwaka husika. Maafisa kodi wafanye examination kwa wakati, excess ya kodi iliyosahaulika itolewe notice kwa wakati. AKILI AKILI AKILI itumike.Ukusanyaji wa mapato/KODI ya serikali lazima uwe kwa speed ileile bila kurudi nyuma.
Jambo la msingi sheria na kanuni zizingatiwe lkn asiye tii sheria ya kulipa kodi lazima ashurutishwe, hapo ndio Taifa letu litaendelea kusonga mbele.
Aisee we jamaa ni bonge la muongo. Prof. Luoga alikuwa lecturer wangu hapo UDSM school of Law by then ilikuwa faculty of law, pia ni partner kwenye law firm inaitwa FK chambers ipo upanga ocean road. Huyu ni mwanasheria bana.Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.
Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Nasikia leo Mabeberu Kyle UN walikuwa wanamuenzi shujaa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.
View attachment 1753844
View attachment 1753845
Ramadhan Kareem!
Ukisoma Sheria ya BOT inataja sifa za mtu anayeweza kuwa gavana, mwanasheria pia ametajwa so ilikuwa uteuzi sahihi kabisa. Besides, Luoga amekuwa mshauri wa masuala ya kodi kwa serikali ya Uganda, Kenya na Tanzania kwa muda mrefu sana na ni mmoja ya wataalamu walioisuka Tax Act na zile financial regulations.Kuwa Gavana sio cheo cha kisiasa kinachohitaji kujua kusoma, kuandika na kusifia.
Tafuta sifa za magavana wote Tanzania kabla ya huyu ndio uje uandike uharo wa bata hapa.
Anzia CV ya Edwin Mtei....., Idris Rashid,..., Prof. Ndulu n.k
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.
Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Ofisho ya kikao au ofisho ipi mkuu? Kikao kilikuwepo leo ndiyoHii ni Official au gossip?
Uidhinishaji wa fedha boss.Ofisho ya kikao au ofisho ipi mkuu? Kikao kilikuwepo leo ndiyo
Hata konde boy mzee wa mtalimbo anawezaMimi naona kwa Tanzania hamna shida. Kama mwendazake aliweza urais na mambo yakaenda tu iyo nafas ya ugavana hata ukimpa Irene Uwoya ataimudu tu.
Nitajie cheif justice wa usa ambaye hana LLB?Actually, si ajabu kivile.
Kwa mfano Marekani, nchi ambavyo ni pevu kwenye masuala ya sheria, Supreme Court justices, akiwemo Chief Justice, si lazima wawe na shahada ya chuo kikuu, achilia mbali shahada ya sheria....
Marekani ishawahi kuwa na Supreme Court justices ambao hawakuwa kabisa na shahada ya sheria. Hii ni kweli. Si uzushi wala usadiki.Ingawa unachosema ni kweli kuwa sio lazima awe ana shahada ya sheria lakini kuna caveats. K.m. anatakiwa apitishwe na Senate kabla ya kuwa confirmed. Huko jina lake linapita kwanza kwenye Senate Judiciary Committee ambayo imejaa wanasheria. Likitoka hapa anahojiwa na Senate nzima kuhusu uwezo wake na ufahamu wake wa mambo ya sheria. Vigingi hivi ni vigumu sana kwa mtu asie na shahada ya sheria na ambae hajawahi ku practise sheria kwa njia moja au nyingine. Sio bure kuwa Justices wengi wali Clerk kwa majustices kabla ya kuteuliwa.
Kwetu sisi Rais anaweza kumteua mtu yeyote anayempenda katika nafasi yetote ya uongozi bila kizuizi chechote. Ingekuwa Marekani Gavana wetu asingeona ndani maana Senators wangemhoji vilivyo.
Amandla...
Unachoniuliza sicho nilichokisema.Nitajie cheif justice wa usa ambaye hana LLB?
Huyu ofisini ni Chamwino au Magogoni?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.
View attachment 1753844
View attachment 1753845
Ramadhan Kareem!
Wacha urongo ww kwenye post zote kubwa ie Gavana Chief Justice Majaji sheria imetoa vigezo/sifa.....raisi hajichaguli tu....Ingawa unachosema ni kweli kuwa sio lazima awe ana shahada ya sheria lakini kuna caveats. K.m. anatakiwa apitishwe na Senate kabla ya kuwa confirmed. Huko jina lake linapita kwanza kwenye Senate Judiciary Committee ambayo imejaa wanasheria. Likitoka hapa anahojiwa na Senate nzima kuhusu uwezo wake na ufahamu wake wa mambo ya sheria. Vigingi hivi ni vigumu sana kwa mtu asie na shahada ya sheria na ambae hajawahi ku practise sheria kwa njia moja au nyingine. Sio bure kuwa Justices wengi wali Clerk kwa majustices kabla ya kuteuliwa.
Kwetu sisi Rais anaweza kumteua mtu yeyote anayempenda katika nafasi yetote ya uongozi bila kizuizi chechote. Ingekuwa Marekani Gavana wetu asingeona ndani maana Senators wangemhoji vilivyo.
Amandla...