Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

Muite na yule shangazi yako wa kule namtumbo pia muende Tel Aviv mkawasaidie Israel wamezidiwa
Jerusalemu ipo salama makombora 200 mmeua mpalestina wawatu maskini mlevi yule mmoja na mmetujeruhi wawili. Wenzenu kombora Moja tuliua mkuu wa magaidi, mwanae na maafisa muhimu. Sisi si kama nyie.
Pikeni ubwabwa bwana maana Jana mmejitahidi
 
Sulbakheri mwamba! Huu mchezo hawauwezi na hawatokuja kuuweza
Israel ni habari nyingine
Nawaza sana pale Irani nani atapigwa
Mohamed ahdenijad ni rafiki yangu.
Ayatollah khominei sijui kama aliruhusu huu upuuzi wa kitoto wa Jana.
Watu wote wa irani na nchi jirani mtalipa Kwa huu ujinga.
Ila hii shoo angekuwepo sadam ingenoga sana ila Israel atabaki kuwa mbabe wa wa wakati wote

Kaka shikamooo, Mtu wa maana kabisa,🤣🤣🤣🤣

Wasubirie kikao kimalizike ndipo watajua hicho kikao kinaumuhimu Gani mbwa wale
 
Ni mara ya kwanza Iran kummiminia mvua ya makombora moja kwa moja Israel?

Si alipigwa makombora mia tatu zaidi ya jana na aliufyata?

Ulikuwa bado hujazaliwa? Hii ni Iran mkuu mataifa yote ya ulaya na Marekani walikaa na mwanaume mmoja kumuomba apunguze urutubishaji wa uranium lakini aliwavimbia na hakuna kitu wamemfanya.
 

Sawa sawa
 
Mnaanza kuhamisha magoli na kutafuta vichaka vya kujificha.
 
Mmmmh umejuaje?
 
Wafuasi wote wa shetani duniani kote wanaiombea mabaya Israel, lakini watashindwa.
Kama huyo Mungu wenu mnaemuabudu anayabariki mauaji ya watu wasio na hatia basi atakuwa lofa, ni bora tuwe upande wa huyo mnaemuita shetani, ambaye hahusiki na majanga.

Anyway muafrika unapata wapi maumivu ya kuwalilia wazungu&waarabu kama sio unafiki? Lilieni ndugu zenu hapo Congo&Sudan, mambo ya waisrael wa mchongo hayawahusu
 
Wa USA NA UK PIA WAMO
 
Umetoka kwenye Andaki mkuu?
 
Isha Mashauzi wa Middle East Bi Netanyahu hajashiriki? Au kaenda kufanyiwa operation nyingine ya tezi dume?
 
War council
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…