Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Jomba acha hizo mbanga za kujiita Alpha Male.... hao motivational speaker walioanzisha huo upuuzi wa kuwaweka kwenye makundi wanaume wenzao watakupoteza. Kama mtu hajafanya uhalifu kupata hela yake acha atumie atakavyo kwasababu atajifunza zikimwishia. Kimsingi kama unaona hela yako kumpa mwanamke ni ngumu achana na mambo ya wanawake na usianzishe nyuzi za kuwasengenya. Mtibeli utajisikiaje upo kwenye mstari wa kuingia motoni na kina Cornelio Nangaa, Bosco Ntaganda, Osama, Hitler, Kabarebe na makatili wengine halafu wewe unaingia kule kwa dhambi ya usengenyaji?
 
Tatizo Tutakao Kuwa Tuna Vua Hiyo Bikini Ni Msululu Alafu Mnunuaji Bikini Ni Mmoja.

Au Ndo Habari Za Mwenye Shamba?
Anayelima Ni Mmoja Ila Wavunaji Kijiji.
 
Kwamba sio lazima, unategemea nani aje amuhudumie wakati Kei unaipiga mwenyewe?

Ukiwa hutaki kuhudumia uwe tayari kushea na watakaoweza kuhudumia
Mzee Mwanzangu Nadhani Unatuangusha Wazee Wenzio.
Nani Kasema Kuhudumia Ndo Bima Ya kula Peke Yako?
Kuna Watu We Unahonga Laki Ya Saloon Kuna ShareHolder Mwenzio Anahudumia Meseji Tu Za Bando La Buku.
Hakika Ulikuwa Kijana Wa Hovyo Ujanani Kwako Uwenda Kuna Mwanamke Umemjengea Kaliakoo Ghorofa We Umejenga Tandika Yombo.
 
Wewe naye unajilazimisha kuwa mzee wakati ni kachalii tuu.
 
Chai
 
Hii iende kwa wanaume wote Wadhaifu!
Tunza pesa yako kwa ajili yako na familia yako.
 
A: Bilionea wa Kigiriki Aristotle Onassis alipokuwa anamfukuzia na hatimaye kumuoa mjane wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jackline Kennedy, aliwahi kuulizwa na mwandishi mmoja wa habari swali;
Journalist: Mr. Onassis, it is said that you love women very much. Is it true?

Onassis: Yes. That's why we men are looking for money, because if women were not there, then money would've no meaning.

B: Sisi Wahaya tuna msemo usemao, "Omushaija biba bintu bishatu; amarwa, abamanja n a'bakazi"! Ahahahahaha!!!
 
Hahaha..............usinikumbushe yule binti wa Ilala Mzee mwenzangu

Ulichokisema ndiyo kitu nilimfanyia Mwaka 47 πŸ€—

Kweli Kei ina nguvu Mzee mwenzangu 😜
 
Kuna watu kigoma mwisho wa reli wataishia kupasikia mwanaume ambae hahudumii kwa kudai kuwa ni kuhonga anakosa raha ya mapenzi 🀣. Bila kuhudumia femininity pia wataisikia kwenye bomba. Unakuta ke anafanya kazi kama kibarua misuli kama mwanariadha wa London marathon kisa bwana hataki kuhudumia. Wale ambao hawaja settle na mpenzi mmoja na ke wenye tamaa ya fisi haiwahusu!
 
Well said
 
Tatizo Tutakao Kuwa Tuna Vua Hiyo Bikini Ni Msululu Alafu Mnunuaji Bikini Ni Mmoja.

Au Ndo Habari Za Mwenye Shamba?
Anayelima Ni Mmoja Ila Wavunaji Kijiji.
Hahaha...........unazidi kuwaongezea hofu timu Kataa Ndoa sasa 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…