Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Hmmmm
 
Unataka kusema hata wale wakubwa wastaafu nao ni masikini na wadhaifu
 
That's how you lose good women

Uliwahi ona wapi mwanamke Mzuri akawa ombaomba kwenye Dunia hii?

Mwanamke Mzuri lazima ajitegemee, asiwe tegemezi kwa mwanaume.
Na aende kwa mwanaume kwa mapenzi ya dhati na sio kufuata huduma. Huyo ni mwanamke Mzuri.

Nje ya hapo anaingia kundi la Makahaba
 
Wazee mkiwasikiliza hawa motivation speakers mtaishia team Bakari Nondo. Nimekaa pale.
Aah wapi mi mbona ni mgumu sihongi(tena mgumu kwelikweli) na hawanitosi? Mi mwanamke akiniomba hela tu nampotezea sipendi mwanamke ombaomba (naamaanisha yule ambae kila ukikutana nae anataka hela tu) na asieniomba ndo huwa nampa kwa hiyari yangu moyo ukiwa safi au siku akiniambia anashida namsikiliza maana najua siyo tabia yake ya kuombaomba, we endelea kuendekeza kuhonga tu utaona matokeo mbeleni
 
Upo sahihi mkuu ila kichwa cha haabari kilinstua sababu haakunaa aambaaye haongi tunafaautiaanaaa viwango na naamna tu
 
Robert Heriel Mtibeli sikupingi lakin Hiv mwanamke akisema ana shida na kitu flan af ukamsaidia ni kuhonga? Maana mim ndo principle zangu mpaka aseme anashida na kitu flan ndo nimsaidie ila hiv hiv siwez
 
Asante kwa kunifundisha mambo matatu ya kuyaogopa kama sio kuyaacha.

mwanamke

vilezi

kamari.
 
Nimejaribu kutafakari sana hili andiko labda utuweke wazi kuhusu tajiri anayezungumziwa hapa.

Nina fahamu Matajiri wengi tena ni wamiliki wamakampuni makubwa na wengine ni wafanyabiashara wakubwa ambao pia nafahamu wanahonga na wamehonga wanaweka ambao ni choka mbaya na kuwainua kimaisha na hata kuachana nao.

Hatuwezi kutaja watu majina lakini huo ndio ukweli, labda utuambie sasa labda hao sio Matajiri?.

Wengine pia inawezekana sio wanahonga Bali wananunua tu burudani maana siku hizi pia hiyo kitu ni biashara kuanzia tandika, Manzese, Masaki, Msasani, Dubai, New York mpaka Monaco France, hii nayo tuaiita kuhonga,?
 

Hujawahi kuona Tajiri anaburuzwa na Mkewe?

Unaweza kuwa tajiri na bado ukawa kundi la wanaume DHAIFU, goigoi, lofa au bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…