Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Kuwa na miaka 30+ bila mchumba au mtoto si kushindwa maisha. Kila mtu ana safari yake. Ndoa na watoto ni maamuzi binafsi, si kipimo cha mafanikio. Cha msingi ni kufanya maamuzi kwa utashi wako, si kwa presha ya jamii. Maisha si mashindano.
Kweli mkuu
Watu wanakujaza presha Hadi unajiona worthless huna maana kabisa
Kila kitu umechelewa
 
😂😂😂😂😂 Me naona watu tupo kijivu si nyeusi si nyeupe ndiyo maana tunafikia huku unampenda mtu mpende kwa moyo mmoja kama wew ni wakupita au upo upo kuwa wazi shida wengi ni waongo
 
😂😂😂😂😂 Me naona watu tupo kijivu si nyeusi si nyeupe ndiyo maana tunafikia huku unampenda mtu mpende kwa moyo mmoja kama wew ni wakupita au upo upo kuwa wazi shida wengi ni waongo
Wanaona show ya kumwambia mtu hapa napita tu sina mpango na wewe ni show ya kibabe sana.

Wanaona ni bora watoe uongo mtamu kwa muda, kuliko ukweli mchungu.

Kisingizio chao ni kwamba wanadanganya kwa kum protect anayedanganywa asijisikie vibaya.
 
Wanaona show ya kumwambia mtu hapa napita tu sina mpango na wewe ni show ya kibabe sana.

Wanaona ni bora watoe uongo mtamu kwa muda, kuliko ukweli mchungu.

Kisingizio chao ni kwamba wanadanganya kwa kum protect anayedanganywa asijisikie vibaya.
Kuna dada mmoja aliniwashia moto baada ya kumwambia namwihitaji sikuwa na plan naye nilimweleze tu ukweli
 
Kuna dada mmoja aliniwashia moto baada ya kumwambia namwihitaji sikuwa na plan naye nilimweleze tu ukweli
Huwa wanasema wanataka ukweli, lakini mara nyingine ukiwaambia ukweli mnagombana kama umewatukana.

Sasa si ulitaka ukweli?

Ndiyo maana wengine wanaona bora kuwapa uongo mtamu tu.
 
Nimekuelewa! Maskini jikalie huko maana si ajabu upo kwa street tu ilimradi upo majuu.
 
Sister acha tu yani wanadamu ni ngumu kuwalizisha ukikonda watauliza umekonda siku hiz una stress ukinenepa utaulizwa utasikia una mihela siku hizi🤣,cha msingi log off tu left group achana na watesi
Ukiwaendekeza wakaupelekesha
 
Ukiwaendekeza wakaupelekesha
Niliona interview ya prezzo anasema dont try to please people maana hakuna anaejali, kwasababu ukifa watakusahau haraka na utashangaa msaada wa mazishi watakuchangia haraka kuliko gharama za matibabu,cha msingi wapende wanaokupenda na wajali wanaokujali na chek na anaecheka nawe na msaidie anaekusaidia hivyo tu utakua na amani ya kudumu na furaha
 
Duhh kweli atakuwa kachoka sana aisee kwani hana crush wengine huko😆

Duhh zidisha maombi, ana shida na ww kiasi hiki🫢
Nakatika kitu ambacho siwezi kuthubutu kufanya ni kumkubalia kwa lengo eti la kupiga na kukimbia inaweza kujidanganya kumbe ni mtego nikanasa mazima nitakuwa fala wa mwisho Dunia hii.
Ndio kuwa makini kama mlishindwana piga chini hakuna haja ya kuonja!
 
Nimekuelewa! Maskini jikalie huko maana si ajabu upo kwa street tu ilimradi upo majuu.

Ukishaona mtu anaongelea habari ya "si ajabu" ujue huyo anataka kulazimisha jambo ambalo hana uhakika nalo.

Wewe ni mchawi nimekwambia.

Unapenda kulazimisha matatizo kwa watu.

Mimi nina nyumba yangu in a leafy suburb, vijana wanaokuja vyuoni kutoka Tanzania bila ya kuwa na wenyeji US wanapata angalau sehemu ya kufikia.

Wakija JFK, na Newark wengine naenda kuwachukua nawapeleka mpaka vyuo vya karibu. Ni jambo ninalofurahia kufanya na nikirudi Tanzania wengine watakosa nafasi hii.

Sasa hivi kuna kijana ana kipaji anataka kwenda MIT, ninasaidia kumuandaa akija akute smooth sailing.

Sasa watu wote tukirudi huko nani ata coordinate mipango ya huku?

Nimefanya kazi mpaka Wall Street, if you know what that is. Nina biashara zangu nzuri. Nina Trust Funds mbili, moja ya familia ninakotoka, nyingine ya familia niliyoianzisha mimi mwenyewe.

I am a Trust Fund baby with a Trust Fund baby.

Wewe unajua hata Trust Fund ni nini?

Nje nime park Mercedes Benz GLE 450 4Matic na BMW X5.

Usifikiri kwa kuwa wewe umeshindwa maisha ya ughaibuni ikakubidi urudi Bongo, kila mtu kashindwa kama wewe.

Kama failure imekuzunguka wewe, ni wewe tu, wengine tuko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…