Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

Hapa ndo panapo dhiirisha uwenda wazimu wenu espcly nyie mnao shabikia huo upande leo link source inayo onesha taarifa ya vifo 100 ukishindwa maanake una pumuliwa kisogoni na Maayatollah
We mjaluo vipi? Huna tv ? Simu ya shemeji hii? Watu mia wameuawa Jana usiku alafu unaleta ushuzi humu?
 
Ngoja Israel ajibu then muanze kulia kwamba anaua wanawake na watoto
 
Maneno mengi kama mwanamke wa kizaramo
 
Hapa ndo panapo dhiirisha uwenda wazimu wenu espcly nyie mnao shabikia huo upande leo link source inayo onesha taarifa ya vifo 100 ukishindwa maanake una pumuliwa kisogoni na Maayatollah
Kuna vitu viingine sio mpaka umezeshwe link! Hapo ni kuangalia kwa macho tu na kukadiria! ahsante kwa kushiriki
 
ambacho hujui ni kwamba israel ndo marekani mwenyewe, ni sawa na kusema mtoto bila baba hakuna kitu, bila kujua kwamba baba na mtoto ni kitu kimoja, so acha kuongea kitu ambacho hakiwezekani
Hizoo ss ndo muendelezo wa stori za vijiweni, Israel ni mtoto wa America, haishi bila kumtegemea America
Akitishiwa kidogoo mbio kwa Baba ake kushtakii
 
Halafu utakuja kesho hapa tena kutia huruma kwa kichapo itakayopokea Iran
Umekimbilia kujibu kwa mihemko kabla ya kusoma vizuri na kitafakar kile unachoandika.

Kama hamas ambao hawana kifaru chochote wamesababisha Israel itumie madege yao ya kivita, vifaru na meli na mizinga mbali mbali kupambana nao bila mafanikio, itakuwa Iran yenye uwezo wa kuipa hata Russia silaha ifanye maangamizi huko Ukraine?

Tunajua kwamba Iran inaenda kuingia vitani na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na nchi zingine za magharibi (maana Israel haijawahi kujisimamia peke yake bila mataifa hayo kumpa ulinzi na silaha) lakini nakuhakikishia kuwa nchi hiyo moja ambayo inapambana na mataifa zaidi ya matano itaidhibiti Israel na washirika wake mwanzo mwisho.

Nchi gani ambayo haiwezi kuingia vitani mpaka ipewe kwanza silaha na nchi zingine. Alaf leo wewe unatapika hapa kama hujui kwamba nchi hiyo inaishi kwa kusaidiwa na nchi zingine.
 
Israel bwege sana katuachia msara Wayahudi wa Bongo tujieleze sana .pepar tiger anachoo weza ni kupiga majengo tu gaza .na wasi wasi hata zile Air strike za nje huwa ana fanya US
Israel ni 'white elephant' mkuu. Haina uwezo wowote kijeshi, kiintelejensia wala kiuchumi. Ni mi kwara tu ya watu wa taifa la Mungu.
 
Sema ww jamaashamba sana unashangaa ballistic missiles kupiga km 2000 nenda majukwaa ya upishi kule kashabikie vitunguu vinaharuf NZur Iran inauwe wa kurusha makombor ila sio kwmb Israel kapitwa anayo zaid yake apo middle east yeye ndio kinara na pia anazo nukes ulichokiona Jana kidog San kwake akiamua kupiga targets zake pale Gaza alikua anapiga public areas sabab hamas wamejichanhany na raia pia walitumia maeneo ya Rai kurusha makombola kiufupi waliwatoa mhanga watu wasio hatia ila sas akisem atumie ballistic missiles drones na fight jets kielekea Iran atakichafua zaidi maan Iran kuna maeneo ya kupiga kama nuclear sites military area n.k na itakuwa hell on earth
 
Maswali mazuri kabisa na yenye akili. Tunasubiri jibu lenye kueleweka.
 
Wanaudanganya umma kuwa eti shambulio halikuleta madhara ili kujifariji na kuficha ukweli, na wakati Netanyahu na familia yake walilala chini ya maandaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna vitu viingine sio mpaka umezeshwe link! Hapo ni kuangalia kwa macho tu na kukadiria! ahsante kwa kushiriki
Iran ni mtemi, kamwe hafanyagi mzaha katika kauli zake. Akisema atafanya na anafanya tena kwa wakati ule ule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nchi za magharibi zishaanza kumlialia mtoto wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Trela gani wewe mnafiki Iran kazabuliwa kofi la uso na israel kaishia kumsukuma israel na kutoa majigambo mashambulizi yamepanguliwa wala hakuna madhara ni upuuzi mtupu
Hii ilikua ishara tu maana ndo mara ya kwanza Iran kafanya shambulizi kutokea kwake direct badala ya kutumia proxies, inamaanisha yuko tayari kwa lolote pia, anajua wayahudi watataka kujibu hii inaweza ikapelekea vita kamili.......naamini kila mtu kamsoma mwenzake kivyake hasa upande wa air defense ndo maana gps zilianza kuleta shida mapema
 
Hivi kweli tumekuwa wa kushangilia vita bila kujali madhara yake.Africa tuna shida kubwa sana aisee
 
Hii vita inaweza kuwa kubwa sana. Tuombe Mungu mambo yaishe kidiplomasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…