Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Unahamisha mada!! Hoja yangu ya msingi ni kwamba huwezi ku justify kutembea na mke wa mtu kwa kuhonga pesa nyingi. Kama comment yako ilivyojieleza so stick to it......Usichanganye habari
 
Ndiomana visa haviishi vya kuwabutua wanaume wapo, watu kama nyie hamjui Hussle za kwenye machimbo, Kaa kimya hujui chochote kuhusu maisha ya kuchimba madini,
Kwamba ukichimba madini ndio unakuwa mental illness mkuu watu wanachimba mpaka makaburi achana na madini hiyo ni lelemama.
 
Kweli. Sasa ndio mnazaa nje na ndani?
 
na kusema wanaofanya vitendo kama hivyo watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Hizi statement zimekuwa zilipendwa, je serikali haina think tanks wenye kutafuta suluhisho la kudumu dhidi ya matukio ya namna hii?
 
Watu kama hao hawatakiwi endelea ishi, unamkata artery damu ivuje afe akijiona
 
Wewe ushaambiwa hadi ndugu walianza kuongea juu ya umri wa mimba na wakati wa mume kuwa yupo machimbo.., sasa sijui hata unabisha nini

Hatubishani hapa mkuu bali tunachangia hoja kwa mujibu wa kila mtu alivyoelewa.

Polisi wamesema chanzo ni wivu wa kimapenzi na pia kulikuwa na mgogoro....Kwahiyo mgogoro ulikuwepo ila siku ambayo amefikia hatua ya kuua chanzo chake kilikuwa ni wivu wa kimapenzi.

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.
 
Mimi sioi najijua hata demu tu nikawa nae sehemu akaombwa namba na akatoa wakati nimemtoa mimi out napiga, na uzuri natoa onyo mapema kabisa sitaki ujinga. Life is do or die
Sasa huyo demu au malaya. Yaani umetoe out na hapo hapo atoe namba mbele yako? We unatongoza malaya tatizo.
 
Hakuna kitu kama hiyo... wangap wameacha na wameanza upya mzee... sasa kuua kumempa nini...
Sijasema aue, nimesema tuoe ila tusifunge ndoa, inarahisha kwenye suala la kuachana na kugawana mali, kuporwa mali na mahakama kunaongeza maumivu
 
Kwamba ukichimba madini ndio unakuwa mental illness mkuu watu wanachimba mpaka makaburi achana na madini hiyo ni lelemama.
Hujui na hujawai tulia, mining is something special and a different world,
 
Sasa huyo demu au malaya. Yaani umetoe out na hapo hapo atoe namba mbele yako? We unatongoza malaya tatizo.
Angalia maudhui ndiomana watu wanatuomba hata wake za watu mwanamke kuzingua kuna hulka, na sababu nyingi, unaweza kuwa na demu kumbe hakupendi anapenda pesa zako, a reason is free for anything
 
Haikuwa ugomvi
Tumekujibu kilichoandika. Siku njema
 
Wametimiza maandiko ya kifo kiwatengenishe ukiona mwenzako hafi haraka unemuua ili mtimize maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…