Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Je,gharama za kusafirisha kutoka Maeneo ya Moro ambayo km sikosei ni Gairo,Kilosa,Dakawa,mikumi nk. Na za ruvu to Dar kama soko ametarget iwe ni Dar hii inakuwaje?
 
Habari wakuu,

Kuna aina ya huyu mdudu hapa kama mnavyomuona amevamia kilimo cha mahindi mwaka huu Iringa, kwa mwenye ujuzi juu ya huyu mdudu tunaomba msaada.

 
Habari wakuu
kuna aina ya huyu mdudu hapa kama mnavyomuona amevamia kilimo cha mahindi mwaka huu Iringa, Kwa mwenye ujuzi juu ya huyu mdudu tunaomba msaadaView attachment 642049
Poleni sana. Huyo siyo kiwavi jeshi. Uzaramoni huku humwita huyo mdudu Sondo. Inabidi unyunyuzie mahindi dawa kila wiki. Huyo mdudu tofauti na kiwavi jeshi, yeye hutaga mayai ambayo huanguliwa baada ya muda mfupi sana na hukua haraka sana. Hushambulia majani, mbelewele na hatimaye mahindi wenyewe. Hudumaza zana mahindi na hufanya mahindi yasikue ipasavyo. Alisumbua sana Bagamoyo na pwani yote mwaka huu. Pata ushauri zaidi toka kwa maafisa kilimo kabla madhara hayajawa makubwa
Habari wakuu,

Kuna aina ya huyu mdudu hapa kama mnavyomuona amevamia kilimo cha mahindi mwaka huu Iringa, kwa mwenye ujuzi juu ya huyu mdudu tunaomba msaada.

View attachment 642049

Habari wakuu,

Kuna aina ya huyu mdudu hapa kama mnavyomuona amevamia kilimo cha mahindi mwaka huu Iringa, kwa mwenye ujuzi juu ya huyu mdudu tunaomba msaada.

View attachment 642049
 
Dawa inanayotumika kunyunyuzia ni ipi mzee?
 
Mara moja tu,ikijirudia tena unapuliza,but am sure ni mara moja tu kwisha habari yake,shamba lipo maeneo gani iringa.
 
Angalia hiyo dawa kwa mama mahenge au Lucy mbembati,ukikosa tuwasiliane kwa namba 0759812022
 
Huyo ni kiwavi jeshi na hupendelea kushambulia nyasi na mazao aina ya nyasi kama mahindi, mtama na ulezi, na viatilifu inayotumika ni za kunyunyizia kama dusban,karate duduall n.k,ila kuna hii dawa huwa inaitwa profecron inafanya vizuri zaidi.
 
Siyo kiwavi jeshi (army warm) hapana huyo ni mdudu mwingine tofauti,hiyo profecron au agrocron zimeshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…