Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Sisi wahaya ni wasomi, wewe muhaya wa wapi bado unalima?
Hapa niko Oxford University nina kikao na ma profesa wazungu
Umenitoa machozi mwanangu kwikwikwi. Yaani Baba zako wanaumia wewe unasemabusomi? Si uje uanzishe kiwanda cha kuprocess vitu na uuze nje?
 
Ni yaleyale ya kuhamasisha watu wafuge sungura wakati soko hakuna. Vanilla nayo walihamasisha na kushawishi wakulima na bei kuwa kilo ni 1,000,000
Hata sungura na kwale wadogo nilifuga. Nilipokosa soko nikagundua jinsi ya kuwatengeneza vizuri sungura nikawa nauza hadi tshs 30,000/= yaani ni watamu kuku asogei
 
Wahaya mshike Elimu.

Sasa mnashikilia kilimo na bodaboda mmejazana mwanza ndo maana uandishi haujanyooka na ni ujumbe unaupeleka kwa rais.
Kwa hiyo kilimo ni kitu kibaya?? Acha matusi jadili mada kama huwezi funga mdomo, sio bukoba tu hata mazao mengine kama korosho ni majanga tu
 
Sio magendo tu mkuu mrangi , kuna majangili wakubwa wako bungeni na viongozi wakubwa, tunawaita waheshimiwa,

Na ndio wanapanga mazao yauzweje na wapi, pia bei yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…