Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Huyu mwamba aje awe Rais tz japo mwezi 1 tu maana Wizara ya fedha watu wanajilipa posho tu bila mpangilio na hawana cha kufanywa.
 
Yaani huko hata ukishikwa na chochote tu ni kifungo
Huko ni balaa hata waamdishi wa habari toka nje wanabanwa haswa

Kuna mengi huko ila nashangaa sijui kiduku alimpendea nini Rodman
Huyo Rodman ni rafiki yake mpendwa walikutana na Kim akiwa anasoma USA
 
Sasa si watu watoroke tu au nayo shida?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ni mbwa kabisa. Tatizo wameshindwa kumuua.
Najuta kusomea JUCHE IDEA YAO. Inafundisha mambo magumu sana na ya kikatili
 
Tanzania iliruhusu NOrth Korea kufundisha Juche Ideology, nami ni mmojawapo niliipata. Ila nashukuru sijaenda Korea
 
Jamaa aliwahi kumuua mjomba wake kabisa,kwa kula rushwa,akatupwa kwenye mbwa wakali ambao hawakupewa chakula wiki nzima ,ili mjomba wake in awe kitoweo .mwamba katili sana
 
Alafu kuna kima walikuwa wakisema rip ni dikteta.

Kama wangekuwa huko wasingethubutu hata kufikiria udikteta wa kim.

Wewe umeona wapi mtu anathubutu kumtukana dikteta hadharani.
 
Taarifa ambazo base yake ni magharibi wala tusitegemee kuwa ni reliable info.

Hakuna kitu kama hiko DPRK
 
Duh,na mijananchi ya huko imekaa tu hata haindamani kupinga,yaani uhai uondokw kwa kosa la hivyo kweli,huyo dogo ni zaidi ya sheitwan aisee
Hakuna mtu anataka kuzikwa na matundu ya risasi mwili mzima.

Hata wewe usingethubutu kama ungethubutu ungeandama peke yako nchi nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…