Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Sijui kwa nini mnapenda kutisha watu.Nina hakika kabisa kwamba mnatumiwa kuleta taharuki kwenye Jamii na watu waovu.

Kimbunga Jobo sio strong kama ulivyo present,infact kinaendelea kupungua nguvu,na nadhani mpaka kitakapo fika kwenye pwani ya Mafia na Lindi kinaweza kuwa na speed y kilometre 20 kwa saa.Hata hivyo ni muhimu wananchi wakaendelea kuchukua tahadhari.

Taarifa kamili ya TMA iko kwenye link ifuatayo.



 
Vifo wakati wa Tufani ni Kufa kwa Maji, Kufa kwa kukanyaga waya za Umeme, Kufa kwa kuangukiwa na Miti, Kufa kwa kungukiwa na Kuta za majengo.
Nimesikia kimekuja 'Makusudically' kabisa "Kuwatwaa' wale wote waliokuwa Wakifurahia Kifo cha Mwendazake ( ila siyo Generalist Mimi ) hivi Watakoma ( Mtakoma ) na mkiweza 'tubuni' upesi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Walaumu TMA na si Mimi sawa? Swine!!!
 
Mimi ningekuwa Daslam hasa eneo la bondeni ningeenda hata Morogoro kesho mpaka kimbunga kipite. kimbunga ni hatari sana.Kama nyumba zilizojengwa kwa viwango bora huko USA, Japan havihimili kimbunga Je hapa Tanzania itakuwaje?
Ukumbike kuwa nyumba nyingi unazoziona kule zikiathirika zimejengwa kwa Mbao...
 
Mkuu lakini kimbunga ndani ya masaa 24 ni mengi sana huwa vinabadilika na kuwa Monsters ila hatuombei
Sawa mkuu,ila lugha mleta mada aliyotumia ni ya kutishia sana.Ukisikiliza lugha ya TMA unagundua kwamba hali sio tete kihivyo.Unajua mkuu,si vizuri kutisha watu.Tujaribu kua realistic as we possibly can.

Halafuu, tukumbuke kwamba mdomo unaumba,tutakacho kiri ndicho kitakacho tokea.Mtu anakula matunda ya maneno au mdomo wake.
 
View attachment 1761867

UkiZoom kwenye hiyo Picha utaona madhara ya Tufani kwenye maeneo ya Pwani Tufani hiyo ilikuwa inaitwa Haiyaan ilipiga Philipines na kuuwa watu Maelfu

View attachment 1761868
Picha hizi ni uncalled for,za nini?Hivi huoni kwamba unawaletea watu hofu?Ninyi mnatumiwa na Shetani.Hofu ni mbaya sana,inaleta Diabetes,HBP,Depression,Ulcers,Cancer and many other ailments.Please please stop it.
 
 

Attachments

  • VID-20210423-WA0144.mp4
    1.6 MB
Picha hizi ni uncalled for,za nini?Hivi huoni kwamba unawaletea watu hofu?Ninyi mnatumiwa na Shetani.Hofu ni mbaya sana,inaleta Diabetes,HBP,Depression,Ulcers,Cancer and many other ailments.Please please stop it.
Kutahadharisha tu ni kama kusema kuwa angalieni picha za HIV inavyomkondesha na hatimae kumuua mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…